DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mpiga picha ndo aliepiga ile picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mh! Mie tokea nilivyosoma ile habari kuwa Lissu hatarudia hali yake ya zamani nimeumia sana! Yaani mtu anapata ulemavu wa hivi hivi tu! imenisikitisha sana
Mkuu kwa vyanzo vyanģu uhakika vya taàrifa kutoka nairobi TL anaendelea viźuri na atatèngèmaa kamà awali
But leo kwà màra ya kwanza nimegundua chadema katibu wao mkuu ni limtu lisilojielewa, limtu lisilojua nini cha kùzunģumza mbelè ya watù na kitawaumiza vipi watu wanaomsikiliza.....yaani kàtìbù mkùu mbele za watu anàźungumzà kabisà kuwa eti kavunjwavunjwa.....kwani angèsema tu kuwa hao waalifu wamemjeŕuhi sanà si watù wangemuelewà anď hiyo kaulì isingewaumìza sana watu
 
Huyu mtu aliyetenda unyama huu amelifedhehesha taifa letu na kulipaka doa jeusi la milele. Lissu kama Rais wa TLS anaingia katika fikra na mawazo ya wanasheria wote duniani na kuacha kumbukumbu ktk medula oblongata zao ambayo haitafutika.

Lissu kama mbunge unyama ule unaingia ktk fikra za wabunge wote wanaompenda na wasiompenda na kuweka kumbukumbu ya kihistoria ktk vichwa vyao hata kama sasa wanajibaraguza. Lissu kama mwanasiasa anaiingiza nchi ktk historia mpya pamoja na kwamba kuna wanasiasa waliokufa vifo vyenye utata, lakini huyu Lisu amemiminiwa risasi nyingi tena katikati ya mchana wa jua kali.

Lissu kama mwananchi kumwagika kwa damu yake kutajadiliwa kwa muda mrefu na wananchi iwe positively ama negatively na hili si jambo jema kwa mustakabali wa kizazi cha leo na kijacho. Tuliwahi ambiwa huko nyuma ' za kuambiwa changanya na za kwako' na mimi nasema hivi mbele za Mungu kila mtu atatoa hesabu ya kazi yake mwenyewe.

Tanzania kama taifa yatupasa tupendane na kutakiana amani, ahsante!
 
Aliyemuita TAML adui wa taifa, amelifedhehesha taifa. Tumwachie MUNGU ashughulike naye!

"The greatness of any nation lies in its fidelity to the constitution and strict adherence to the rule of law and above all respect to God" - CJ David Maraga
 
Nimesikia na wao huko tegeta ununio.kimenuka
 
MIMI SIAMINI KAMA LISU KAPIGWA RISASI KWELI INAWEZEKANA ZILE NI RISASI ZA PLASTIKI AMEIGIZA ILI KUJIPATIA UMAARUFU NDIO MAANA CHADEMA WAKAMKIMBIZA NAIROBI WALIJUA WAKIMPELEKA MUHIMBILI DILI LAO LITAJULIKANA
 
Kwahiyo na Katibu mkuu wa wizara kapigwa changa la macho wakati akimtibia lissu na kutoa risasi mwilini. Mtaacha lini kutumia kiungo cha kutolea taka ngumu mwilini

Lexus Mayai
 
Nyie wakinga hadi muaminishwe na mwakipande ndio mnaamini, maana mmezoea kuua watoto na wazazi na kuwaweka misukule madukani kwenu!
 
Ni mtu hatari sana hajulikani lakini anafanya mambo yanayojulikana.
 
Kwahiyo na Katibu mkuu wa wizara kapigwa changa la macho wakati akimtibia lissu na kutoa risasi mwilini. Mtaacha lini kutumia kiungo cha kutolea taka ngumu mwilini

Lexus Mayai
Hawa wengine nimental cases tu.
 
Kwahiyo na Katibu mkuu wa wizara kapigwa changa la macho wakati akimtibia lissu na kutoa risasi mwilini. Mtaacha lini kutumia kiungo cha kutolea taka ngumu mwilini

Lexus Mayai
Mkuu huyo ni mkinga amezoea misukule ya kule kwao, hapo alipo lazima baba au mtoto wake kamuweka msukule kabatini!
 
MIMI SIAMINI KAMA LISU KAPIGWA RISASI KWELI INAWEZEKANA ZILE NI RISASI ZA PLASTIKI AMEIGIZA ILI KUJIPATIA UMAARUFU NDIO MAANA CHADEMA WAKAMKIMBIZA NAIROBI WALIJUA WAKIMPELEKA MUHIMBILI DILI LAO LITAJULIKANA
Running out of ideas
 
Mara nyingi huwa tunaangalia matokeo ya vitu ba kuacha kuangalia mizizi.

Kabla ya kufika kwa aliyepiga risasi, rais wa Tanzania kwa kauli zake mbovu za kuhalalisha wapinzani waandamwe, amechangia kuwepo kwa hali hii.

Kabla ya rais kuwa rais, chama tawala kilichomuwezesha huyu rais kuwa rais, kimetuangusha.

Wazee wa Chama tawala waliompendekeza huyu rais kuwa rais wametuangusha.

Wapiga kura waliotupa huyu bungeni wametuangusha.

Marais waliomteua ubunge wametuangusha.

Bunge lenyewe ambalo amekaa bungeni miaka yote bila kujifunza mengi, limetuangusha.

Vyuo vya elimu ya juu na shule za elimu ya awali vimetuangusha.

Kanisa lililomlea limetuangusha.

Familia iliyomlea imetuangusha.

Jamii nzima ya Tanzania iliyoshiriki kutufikisha hapa imetuangusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…