DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Amani iwe kwenu wana JF!

Kutokana na mjadala mkubwa ulioibuka baada ya Tundu Lissu kujeruhiwa kwa risasi tarehe 7/9/2017 tumeshuhudia vituko,mijadala mingi kwenye mitandao ya kijami,Tv, Redio na Magazeti. Kuna baadhi ya wanasiasa waliutumia mwanya huo wa kujeruhiwa kwa Lissu ''kufufuka'' kisiasa.

Mjadala wa leo unataka kuangazia maoni ya wanajamvi ili kupata tathmini ya kina itakayotoa majibu halisi ni kiasi gani sakata la kujeruhiwa Tundu Lissu limeinufaisha Chadema na viongozi wake au ni kwa kiasi gani sakata hili limewadharaulisha katika jamii ya watanzania. Kwa kuchokoza mada nitatupia maeneo machache ambayo yanaweza kutumika kama vigezo katika mada hii.

  1. Ni kiasi gani Chadema na baadhi ya viongozi wamenufaika na hela za michango ya wasamaria? au michango ilikuwa hafifu?
  2. Je ni kwa kiasi ganiwamepata huruma ya wananchi? au ni kiasi gani wananchi wamewapuuza?
  3. Je dhamira yao kuichafua Tanzania katika anga za kimataifa imefanikiwa? au wameshindwa?
Kwa kuzingatia kwamba JF ni jukwaa huru ninakaribisha pia vigezo vingine na mjadala mzito zaidi katika vigezo nilivyoweka hapo juu.

Hoja hujibiwa kwa hoja na so viroja.
 


Limewanufaisha lkn ni Viongozi (baadhi) na siyo chadema kama Chama, Mbowe kanufaika, Nyalundu kanufaika, Msigwa ingawaje yupo Lupango lkn kanufaika kuonyeshwa kwenye TV abroad, Mashinji ambaye ndiye evilman na mastermind wa game yote kanufaika, waliopoteza ni Mke wa Tundu Lisu na Familia yake kwa ujumla!
 
Liwapandishe kimataifa??? Labda kwahizo story zenu za vijiweni mnazodanganywa na mange kimambi.Tz iko juu sana toka awamu hii iingie madarakani na juzi tu imesifiwa tena na vyombo vya habari kwa wajumbe wake UN. Sasa huko Europe serikali ya JPM inavyosifiwa ni balaa; kwa hio hilo la Lissu ni kama shilling idumbukie kwenye bahari haionekani na wala haisikiki. Siasa za kick hazipo ughaibuni.
 
mkuu,ni kweli hili ni jukwaa huru lakini ni vyema kama unaleta mada inayostahili mjadala utafakari kwanza kama ina tija kwa wakati unaohusika.
mada hii haipaswi kuwepo wakati huu ambapo mh Lissu bado yuko kwenye matibabu.suala ni kumpigania apone kwa maombi na fedha.hayo ya umaarufu wa chama hayana nafasi kwa sasa.siwezi kusema umtangulize Mungu maana sijui imani yako,ila
tanguliza ubinadamu.
 
Wakati magufuli ananufaika na Rambirambi za waanga wa tetemeko mwana Ccm kama wewe ulinufaika na nini?
Na je gambo alivopiga za wanafunzi wewe ulipata mgao gani?
Mtatapatapa Baada ya kusomewa Albadirl.
 
Wewe siku usipoitaja chadema kwa masaa 24 unaweza kuwa chizi aisee yani we ni CCM lakini muda wote ni chadema hivi chadema vile.
Hivi katika yote ya kujadili kuna kitu gani cha kujadili toka kwako mkuu? We lete nyimbo mpy za kumsifu mtukufu raisi hapa basi
Ila mwambie zile milion 50 kwa kila kijiji zimeyeyukoa wapi? Pia mwambie nyumba za serikali alizopiga mnada kwa bei cheee zinarudishwa lini! Kivuko je? Au ukikipeleka jeshini.ndo basi? Kisha twambie haya yanainufaisha vipi ccm
 

Sasa hii nayo Ni hoja? Au viroja au utumbo tu..
 

Yako siyo hoja ni kioja.

Naona manufaa ya ccm kwenye hili yameota mbawa. Mshaulini Magu-mashi aachane na mbinu za Kagame mtaumbuka. Huku hakuna Israel mtoa roho kuna Mungu muumba roho na mlinda maisha na roho za waja wake.

Kwani "wasiojulikana" mnaowajua nyinyi tu hamawapata wakutubambikia?

Poleni mchuma janga hula na wa kwao.
 
mlilenga wakose vyote..wamkose lisu na michango cha ajabu inekuwa kinyume chake...mungu sio pombe!!
 
Mpumbavu kabisa wwewe wa juli na anna wa kufyonza. Sisi tunaumis kuhusu kuumixwa ndugu yetu wewe unaleta siasa zako za kishenzi hapa! We mwanamke jiangalie sana. Huna hata aibu!
 
Upo nje ya mada.
 
Mpumbavu kabisa wwewe wa juli na anna wa kufyonza. Sisi tunaumis kuhusu kuumixwa ndugu yetu wewe unaleta siasa zako za kishenzi hapa! We mwanamke jiangalie sana. Huna hata aibu!
Umeumiaje kwa mfano! acha viroja jenga hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…