Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Amani iwe kwenu wana JF!
Kutokana na mjadala mkubwa ulioibuka baada ya Tundu Lissu kujeruhiwa kwa risasi tarehe 7/9/2017 tumeshuhudia vituko,mijadala mingi kwenye mitandao ya kijami,Tv, Redio na Magazeti. Kuna baadhi ya wanasiasa waliutumia mwanya huo wa kujeruhiwa kwa Lissu ''kufufuka'' kisiasa.
Mjadala wa leo unataka kuangazia maoni ya wanajamvi ili kupata tathmini ya kina itakayotoa majibu halisi ni kiasi gani sakata la kujeruhiwa Tundu Lissu limeinufaisha Chadema na viongozi wake au ni kwa kiasi gani sakata hili limewadharaulisha katika jamii ya watanzania. Kwa kuchokoza mada nitatupia maeneo machache ambayo yanaweza kutumika kama vigezo katika mada hii.
Hoja hujibiwa kwa hoja na so viroja.

- Ni kiasi gani Chadema na baadhi ya viongozi wamenufaika na hela za michango ya wasamaria? au michango ilikuwa hafifu?
- Je ni kwa kiasi ganiwamepata huruma ya wananchi? au ni kiasi gani wananchi wamewapuuza?
- Je dhamira yao kuichafua Tanzania katika anga za kimataifa imefanikiwa? au wameshindwa?
Hoja hujibiwa kwa hoja na so viroja.