At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Hayupo.Naanza;
Leo ni miaka 3 kamili tokea shambulio la aibu na kikatili litokee pale Bungeni Dodoma dhidi ya Mbunge wa Singida mashariki na mgombea Urais wa sasa Tundu Lissu.
Pamoja na mengi yanayosemwa, Namshukuru Mungu kwa ukuu wake na kwa maisha ya Lissu. Pengine ana makusudio yake kwa Lissu na nchi yetu. Jee alitakalo Mungu kuna wakuzuia?
Mungu azidi kumsimamia Mh Tundu Lissu. Maombi yangu ni kuwa amfanye kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania mwaka huu 2020!Naanza;
Leo ni miaka 3 kamili tokea shambulio la aibu na kikatili litokee pale Bungeni Dodoma dhidi ya Mbunge wa Singida mashariki na mgombea Urais wa sasa Tundu Lissu.
Pamoja na mengi yanayosemwa, Namshukuru Mungu kwa ukuu wake na kwa maisha ya Lissu. Pengine ana makusudio yake kwa Lissu na nchi yetu. Jee alitakalo Mungu kuna wakuzuia?
Yan naishiwa maneno, Huyu Mungu wa Mbinguni aliyetutendea Muujiza Mkubwa hivi na akaendelee kumwongoza Mteule wake hata mwuuaji wake azidi kuaibika!Naanza;
Leo ni miaka 3 kamili tokea shambulio la aibu na kikatili litokee pale Bungeni Dodoma dhidi ya Mbunge wa Singida mashariki na mgombea Urais wa sasa Tundu Lissu...
Yan naishiwa maneno, Huyu Mungu wa Mbinguni aliyetutendea Muujiza Mkubwa hivi na akaendelee kumwongoza Mteule wake hata mwuuaji wake azidi kuaibika!
Shetani wewe ulaaniwe Mwuaji mkubwa weweMungu alimwacha awe hai ili ajifunze
Mkuu umeshatoa neno lako na limesikika sasa mbona kama ugomvi vile?Mungu alimwacha awe hai ili ajifunze
Asante Mungu kwa kumponya Tundu Lissu. Hakika neema na rehema zako Mungu ni za milele na unajua kuwaabisha watesi wa wateule wako!Wakuu,
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi...
Unaonekana umeishiwa mipangoAache kutumikia Mabeberu
Mkuu umeshatoa neno lako na limesikika sasa mbona kama ugomvi vile?
Unateseka? Tumekusikia, sasa acha na wengine watie neno la shukrani.