DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Naanza;
Leo ni miaka 3 kamili tokea shambulio la aibu na kikatili litokee pale Bungeni Dodoma dhidi ya Mbunge wa Singida mashariki na mgombea Urais wa sasa Tundu Lissu.
Pamoja na mengi yanayosemwa, Namshukuru Mungu kwa ukuu wake na kwa maisha ya Lissu. Pengine ana makusudio yake kwa Lissu na nchi yetu. Jee alitakalo Mungu kuna wakuzuia?
Hayupo.

Ila sio uliwazalo.
 
Naanza;

Leo ni miaka 3 kamili tokea shambulio la aibu na kikatili litokee pale Bungeni Dodoma dhidi ya Mbunge wa Singida mashariki na mgombea Urais wa sasa Tundu Lissu.

Pamoja na mengi yanayosemwa, Namshukuru Mungu kwa ukuu wake na kwa maisha ya Lissu. Pengine ana makusudio yake kwa Lissu na nchi yetu. Jee alitakalo Mungu kuna wakuzuia?
Mungu azidi kumsimamia Mh Tundu Lissu. Maombi yangu ni kuwa amfanye kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania mwaka huu 2020!
 
Naanza;
Leo ni miaka 3 kamili tokea shambulio la aibu na kikatili litokee pale Bungeni Dodoma dhidi ya Mbunge wa Singida mashariki na mgombea Urais wa sasa Tundu Lissu...
Yan naishiwa maneno, Huyu Mungu wa Mbinguni aliyetutendea Muujiza Mkubwa hivi na akaendelee kumwongoza Mteule wake hata mwuuaji wake azidi kuaibika!
 
Nyerere alitukumboa kutoka kwa Mabeberu yeye anataka aiuze Nchi yetu kwa Mabeberu kwa nn?
 
Ache kutumikishwa na wa upande wa pili asimame kwa akili zake
 
Waliotaka kumuua wanasema ni chadema wenzie ujinga kabisa Yani chadema wapenetret makazi ya viongozi wa serikali basi hatuna vyombo tuna UTOPOLO WA VYOMBO kitu ambacho sitaki kuamini. Wao waseme mishen ilifeli baaasi.
 
Mungu mkubwa ,lisasi 32 yuko hai na bado anamhenyesha mwenye madaraka ,usiku halali anafikiria kuyajibu mafataki ya AT Kila uchwao ,hadi mtu anaomba pooo eti mimi siwezi kuahidi nisichoweza ,mara ooh nitampa kazi ,mara oooh toeni ajira


Lissu mwanangu kaza piga humo humo !!
 
Nashukuru "amepona" amerudi na kichwa chake hakikuathirika. Sasa anagombea uraisi lakini kwangu ni zaidi ya hapo-Mola atamjalia kuongoza mabadiliko hapa nchini awe raisi, asiwe raisi tayari kwenye campaigns hizi kuna mbegu ambayo anapanda, akiwa raisi ataisimamia mbegu hiyo kwa urahisi zaidi ichepue itupe matunda.

Asipokuwa raisi haitakuwa rahisi lakini naamini yeye na chama chake watatuongoza watanzania kuelekea Tanzania mpya. Ashinde asishinde kwa kudra za mwenyezi Mungu siasa za Tanzania zitabadilika. Nimalizie kwa kumuomba Mola ampe maisha marefu. Amen
 
Wakuu,

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi...
Asante Mungu kwa kumponya Tundu Lissu. Hakika neema na rehema zako Mungu ni za milele na unajua kuwaabisha watesi wa wateule wako!
 
Back
Top Bottom