Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
WATANZANIA TUNATAKA TUAMBIWE ULITUFANYIA NINI, NA UTATUFANYIA NINI. HATUTAKI HURUMA NDO IWE SIFA YA KUPEWA IKULU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen.Walishalaaniwa toka tumboni mwa mama zao. Walishalaniwa kuanzia siku ile ile na waliocheka au kushangilia na wao yamelaaniwa matumbo yaliyowazaa
Yaliyofuatia baadae ni kama alikuwa anaandaliwa kugombea urais.
Risasi zile ilikuwa tiketi ya Urais wa Tanzania, hakika yametimia.
Nahisi unaishi ndotoni View attachment 1562413
Huyo jamaa wa mbele namkubali sijui anaitwa nani,nilimuona pale zakhem,kawe naDodomaYani hii picha Nimeipenda sana View attachment 1562411
WATANZANIA TUNATAKA TUAMBIWE ULITUFANYIA NINI, NA UTATUFANYIA NINI. HATUTAKI HURUMA NDO IWE SIFA YA KUPEWA IKULU.
Walishalaaniwa toka tumboni mwa mama zao. Walishalaniwa kuanzia siku ile ile na waliocheka au kushangilia na wao yamelaaniwa matumbo yaliyowazaa
Wewe kama hujui nini Lissu kafanya kwa watu kama wakili kabla ya kuingia bungeni na pia kama mbunge wa JMT basi wewe ni bonge la MTU asiyejitambua au kujua ya nchi hii.WATANZANIA TUNATAKA TUAMBIWE ULITUFANYIA NINI, NA UTATUFANYIA NINI. HATUTAKI HURUMA NDO IWE SIFA YA KUPEWA IKULU.