Kuna ujinga mtu anaufanya kumtamka MUNGU kipuuzi puuzi, mada hizi zinaletwa na watu ambao ni hao hao wanaotamani madaraka,kam ni mtu mpenzi tu wa chama swali ni ulikuwepo mpaka uthibitishe kua serikali ilifanya tukio hilo? Huyu mshambuliwa yeye siyo binadamu hata akawa na maadui? Serikali gani ifanye tukio hilo kizembe kiasi hicho? Huyo yamkini alikua na visa na watu au alitengeneza movie tu maana wote wapiga kelele humu wala hawakuona kwa macho tukio
Natambua upande huo unaweza kua na matatizo yake kadhaa maana nao ni watu siyo Malaika, lakini kutuijia na utetezi wa wapinzani na kutuaminisha kua wao ni kama MUNGU asiye na mapingufu yake huu ni ujinga mkubwa mkae nao ninyi wenyewe
Wananchi wengi tunaona wazi jinsi Rais anavyopambana na kutuvusha kwenye ugumu wa maisha haya ya nchi yetu, ninyi wenye hasira nae ni walevi wa madaraka wanasiasa mnaotaka kwenda kula,au ninyi ni wale wa vyeti feki, au ni ale wala rushwa mliotumbuliwa
Naomba niwaambie kwamba JPM yuko sahihi sana na hasira zenu za kuaminisha umma mchache huu wa mitandaoni sioni kama mtafanikiwa