zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nmesoma hii message hadi machozi yamenitoka ucku huu.... Dah Mungu ni mkubwa kwa kweli. Cha msingi siasa zisitutoe ubinadamu maana duniani tunapita tu.Wanataka kumuua Lissu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmesoma hii message hadi machozi yamenitoka ucku huu.... Dah Mungu ni mkubwa kwa kweli. Cha msingi siasa zisitutoe ubinadamu maana duniani tunapita tu.Wanataka kumuua Lissu?
Amina mkuuWaliompiga Lissu mchana kweupe MUNGU anawajua, na hata kama mlengwa hakupoteza maisha ila damu iliyomwagika i-juu yao wote waliohusika. Kwa akili za kibinadamu hatujui ni nini kinaendelea kwa wale walioelekeza risasi upande wa kushoto mwa gari la Lissu, lakini kama MUNGU aishivyo, ni lazima (100%) wameshapata malipo yao chini ya jua. Na nina hakika 100% kabla kizazi hiki hakijapita, kila kitu kitakuwa hadharani.
PoleNmesoma hii message hadi machozi yamenitoka ucku huu.... Dah Mungu ni mkubwa kwa kweli. Cha msingi siasa zisitutoe ubinadamu maana duniani tunapita tu.
HakikaMungu ndio hakimu wa kweli
Mimi hili tukio lilinifanya niachane kabisa na ndoto zangu za kuingia kwenye siasa ili kulipigania hili Taifa letu kujikomboa Kiuchumi na Kisiasa.Daaah! Hii siku nilitoa machozi kwa mtu nisiye mjua
Usurudi nyuma broMimi hili tukio lilinifanya niachane kabisa na ndoto zangu za kuingia kwenye siasa ili kulipigania hili Taifa letu kujikomboa Kiuchumi na Kisiasa.
Nilikuwa na ndoto nyingi sana! Ila baada tu ya kuona wanasiasa wapo tayari kwa lolote, ili tu kukidhi matakwa na maslahi yao! Nikaona bora niendeleze tu mapambano humu humu JF.
What is your version of the incident?Hadithi za waliotaka kuumua kwa kushambulia kalio kwa risasi 16 [emoji28]. Nchi inaviroja hii ebu tumsikilize Mussa wa Ikungi atasema nini.
Hisira za Samia kuwa Rais baada ya kifo cha basha wako zisituchafulie majadiliano humu.Hadithi za waliotaka kuumua kwa kushambulia kalio kwa risasi 16 [emoji28]. Nchi inaviroja hii ebu tumsikilize Mussa wa Ikungi atasema nini.
Ebwana Eeeehn!!!!!!Hii ni awamu ya 6 bwashee.
Mambo yenu ya huko bara ya kutunguana risasi kama manyani mjadala wake umeshafungwa!
Endapo wewe sio punguani wa akili basi neno punguani linatakiwa kuondolewa ktk kamusi.Hadithi za waliotaka kuumua kwa kushambulia kalio kwa risasi 16 [emoji28]. Nchi inaviroja hii ebu tumsikilize Mussa wa Ikungi atasema nini.
Makonda na msandoJasiri Tundu A. Lissu nasema na wewe
Ni muda muafaka sasa kusema na watanzania na dunia nzima, ili roho zetu zitulie.Au tufunge ukurasa wa jambo hili au kufungua ukurusa wa kuchukua hatua.
Ni nani alitaka kukuua,alitumwa na nani
Loh watakufungiaMakonda na msando
Jasiri Tundu A. Lissu nasema na wewe
Ni muda muafaka sasa kusema na watanzania na dunia nzima, ili roho zetu zitulie.Au tufunge ukurasa wa jambo hili au kufungua ukurusa wa kuchukua hatua.
Ni nani alitaka kukuua,alitumwa na nani