DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Waliompiga Lissu mchana kweupe MUNGU anawajua, na hata kama mlengwa hakupoteza maisha ila damu iliyomwagika i-juu yao wote waliohusika. Kwa akili za kibinadamu hatujui ni nini kinaendelea kwa wale walioelekeza risasi upande wa kushoto mwa gari la Lissu, lakini kama MUNGU aishivyo, ni lazima (100%) wameshapata malipo yao chini ya jua. Na nina hakika 100% kabla kizazi hiki hakijapita, kila kitu kitakuwa hadharani.
Amina mkuu
 
Daaah! Hii siku nilitoa machozi kwa mtu nisiye mjua
Mimi hili tukio lilinifanya niachane kabisa na ndoto zangu za kuingia kwenye siasa ili kulipigania hili Taifa letu kujikomboa Kiuchumi na Kisiasa.

Nilikuwa na ndoto nyingi sana! Ila baada tu ya kuona wanasiasa wapo tayari kwa lolote, ili tu kukidhi matakwa na maslahi yao! Nikaona bora niendeleze tu mapambano humu humu JF.
 
Usurudi nyuma bro
 
Hadithi za waliotaka kuumua kwa kushambulia kalio kwa risasi 16 [emoji28]. Nchi inaviroja hii ebu tumsikilize Mussa wa Ikungi atasema nini.
 
Hadithi za waliotaka kuumua kwa kushambulia kalio kwa risasi 16 [emoji28]. Nchi inaviroja hii ebu tumsikilize Mussa wa Ikungi atasema nini.
Hisira za Samia kuwa Rais baada ya kifo cha basha wako zisituchafulie majadiliano humu.
 
Hadithi za waliotaka kuumua kwa kushambulia kalio kwa risasi 16 [emoji28]. Nchi inaviroja hii ebu tumsikilize Mussa wa Ikungi atasema nini.
Endapo wewe sio punguani wa akili basi neno punguani linatakiwa kuondolewa ktk kamusi.
 
Jasiri Tundu A. Lissu nasema na wewe

Ni muda muafaka sasa kusema na watanzania na dunia nzima, ili roho zetu zitulie.Au tufunge ukurasa wa jambo hili au kufungua ukurusa wa kuchukua hatua.

Ni nani alitaka kukuua,alitumwa na nani

Si alishasema ni Magufuli? Au ninyi amuamini? Sasa atasema nini kipya? Si alisema wakati ana hojiwa kwenye hard talk na akaulizwa ushahidi?
 
Back
Top Bottom