DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Amina mkuu
 
Daaah! Hii siku nilitoa machozi kwa mtu nisiye mjua
Mimi hili tukio lilinifanya niachane kabisa na ndoto zangu za kuingia kwenye siasa ili kulipigania hili Taifa letu kujikomboa Kiuchumi na Kisiasa.

Nilikuwa na ndoto nyingi sana! Ila baada tu ya kuona wanasiasa wapo tayari kwa lolote, ili tu kukidhi matakwa na maslahi yao! Nikaona bora niendeleze tu mapambano humu humu JF.
 
Usurudi nyuma bro
 
Hadithi za waliotaka kuumua kwa kushambulia kalio kwa risasi 16 [emoji28]. Nchi inaviroja hii ebu tumsikilize Mussa wa Ikungi atasema nini.
 
Hii ni awamu ya 6 bwashee.

Mambo yenu ya huko bara ya kutunguana risasi kama manyani mjadala wake umeshafungwa!
 
Hadithi za waliotaka kuumua kwa kushambulia kalio kwa risasi 16 [emoji28]. Nchi inaviroja hii ebu tumsikilize Mussa wa Ikungi atasema nini.
Hisira za Samia kuwa Rais baada ya kifo cha basha wako zisituchafulie majadiliano humu.
 
Hadithi za waliotaka kuumua kwa kushambulia kalio kwa risasi 16 [emoji28]. Nchi inaviroja hii ebu tumsikilize Mussa wa Ikungi atasema nini.
Endapo wewe sio punguani wa akili basi neno punguani linatakiwa kuondolewa ktk kamusi.
 
Jasiri Tundu A. Lissu nasema na wewe

Ni muda muafaka sasa kusema na watanzania na dunia nzima, ili roho zetu zitulie.Au tufunge ukurasa wa jambo hili au kufungua ukurusa wa kuchukua hatua.

Ni nani alitaka kukuua,alitumwa na nani
Makonda na msando
 
Si alishasema ni Magufuli? Au ninyi amuamini? Sasa atasema nini kipya? Si alisema wakati ana hojiwa kwenye hard talk na akaulizwa ushahidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…