DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Tukio hili na muujiza wake utadumu kwa muda wa miaka 1000 mbele katika historia ya Dunia.
 
Hiyo siku sitasahau, nilijikuta michozi inatoka kirahisi sana na kukosa uwezo wa kufanya lolote. Ikaniongezea chukikwa naadhi ya viongozi wetu.
Kwa sasa nina mtoto niliyembatiza jina huyu mwamba. Naamini watakutana siku Mungu akipenda
 
Nilikuwa kariakoo nafanya shopping jamaa mmoja akasema tundu lisu kafariki !

Ikabidi niangalie kwenye simu sikuamini macho yangu
Mimi pia nilikuwa natoka Kariakoo shopping nipo na jamaa yangu,Mimi na drive jamaa yangu alikuwa ameshika simu anaperuzi ghafla kaniambia Lissu kapigwa risasi kafariki,aisee nilikosa nguvu nilipofika Big Born nikapaki gari kwanza ili tujue ukweli kamili.
 
..iundwe Tume ya Uchunguzi itakayoongozwa na Jaji wa Mahakama ya Rufaa kuchunguza kilichotokea Sept 7, 2017.
Majaji hawahawa kina luvanda, feleshi na biswalo n.k?! Nadhani uchunguzi ufanywe na chombo cha nje kama ilivyokuwa mauaji ya padri mushi kule zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…