Hakika nami nilitoa chozi hadharaniHiyo siku sitasahau, nilijikuta michozi inatoka kirahisi sana na kukosa uwezo wa kufanya lolote. Ikaniongezea chukikwa naadhi ya viongozi wetu.
Kwa sasa nina mtoto niliyembatiza jina huyu mwamba. Naamini watakutana siku Mungu akipenda
Noma Sana mkuuMimi pia nilikuwa natoka Kariakoo shopping nipo na jamaa yangu,Mimi na drive jamaa yangu alikuwa ameshika simu anaperuzi ghafla kaniambia Lissu kapigwa risasi kafariki,aisee nilikosa nguvu nilipofika Big Born nikapaki gari kwanza ili tujue ukweli kamili.
Ni wakati sasa wa kuweka wazi wote walioshiriki dhambi hii
Tayari washaanza kutajwa hukoBashite asaidie kwenye ili sababu anajua ABC ya kilichofanyika.
MmhTukio hili na muujiza wake utadumu kwa muda wa miaka 1000 mbele katika historia ya Dunia.
Yupo kuzimuYule jamaa katangulia mbele ya Haki
Vyombo husika vipo Kimya tu!!Miaka mitano sasa leo
Lakini kama ingetokea Lissu angekufa kwnye lile shambulio, leo hii tungekuwa tunawaona Viongozi wakipishana kwa kulitembelea Kaburi.Vyombo husika vipo Kimya tu!!