DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Hiyo siku sitasahau, nilijikuta michozi inatoka kirahisi sana na kukosa uwezo wa kufanya lolote. Ikaniongezea chukikwa naadhi ya viongozi wetu.
Kwa sasa nina mtoto niliyembatiza jina huyu mwamba. Naamini watakutana siku Mungu akipenda
Hakika nami nilitoa chozi hadharani
 
Hakika Mungu ni mwema, na imani ya kwamba waliohusika na tukio hili kwa 75% watakuwa washamezwa na udongo.
 
Mimi pia nilikuwa natoka Kariakoo shopping nipo na jamaa yangu,Mimi na drive jamaa yangu alikuwa ameshika simu anaperuzi ghafla kaniambia Lissu kapigwa risasi kafariki,aisee nilikosa nguvu nilipofika Big Born nikapaki gari kwanza ili tujue ukweli kamili.
Noma Sana mkuu
 
Wakati tukio linaripotiwa nilikuwa natoka Site kurudi ofisini, wakati naingia Ofisini kwangu nikasema ngoja nipite Idara ya Sheria mara moja, ndiyo nakutana na Mwanasheria akisikitika kuwa Rais wa TLS amepigwa risasi na kufariki akimaanisha Tundu Lissu.

Zilikuwa ni habari mbaya kuzisikia, I was real shocked!!

Mungu ni Mwema, the man is alive akiongeza miaka 4 sasa tangu 2017
 
😥😥😥😕😕😕😕😕😕😕
 
Back
Top Bottom