DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Amekula kona sasa hivi anaishi Ubelgiji. Halafu kalenga kiwanja poa, kwasababu kwa michongo ya kujilipua kwenye nchi Ulaya, Ubelgiji ndo kiwanja oyaoya kilichobaki
Ukisoma upuuzi wako huu leo unajionaje? Wakati mwingine usikubali kuendeshwa na fikra za kinazi hadi zinakutoa kwenye utu
 
Mungu ni mwema kila wakati, siku kama ya leo miaka 6 iliyopita, maharamia yalitumwa kumuua Tundu lakini kwa uwezo wa Mungu yalishindwa. Kila wakati Mungu ni mwema.
Na tutawatwanga risasi za moto mpaka mjiharishie shwain nyie hamjui hili taifa limetoka wapi.
 
Nawashangaa sana wanaosema huyu mzee jpm alikuwa mzalendo au uzalendo ndio huu kumfyatulia mwenzako risasi?
Yule muuaji alishangiliwa na kila mjinga wa Taifa hili, Hata wale tuliodhani watasimama na haki walisombwa na na mafuriko ya woga, teuzi au chuki
 
Hii itabaki kwenye Rekodi za Dunia kwa miaka 1000 ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…