DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Amekula kona sasa hivi anaishi Ubelgiji. Halafu kalenga kiwanja poa, kwasababu kwa michongo ya kujilipua kwenye nchi Ulaya, Ubelgiji ndo kiwanja oyaoya kilichobaki
Ukisoma upuuzi wako huu leo unajionaje? Wakati mwingine usikubali kuendeshwa na fikra za kinazi hadi zinakutoa kwenye utu
 
Mungu ni mwema kila wakati, siku kama ya leo miaka 6 iliyopita, maharamia yalitumwa kumuua Tundu lakini kwa uwezo wa Mungu yalishindwa. Kila wakati Mungu ni mwema.
Na tutawatwanga risasi za moto mpaka mjiharishie shwain nyie hamjui hili taifa limetoka wapi.
 
Nawashangaa sana wanaosema huyu mzee jpm alikuwa mzalendo au uzalendo ndio huu kumfyatulia mwenzako risasi?
Yule muuaji alishangiliwa na kila mjinga wa Taifa hili, Hata wale tuliodhani watasimama na haki walisombwa na na mafuriko ya woga, teuzi au chuki
 
Utaratibu wetu wa kibunge wa matibabu ambao ndiyo utaratibu wa Watanzania wote, baada ya mwenzetu kupata tatizo hili tulikuwa tumeshaagiza ndege kumpeleka Muhimbili,” amesema.

Amesema ingekuwa anatakiwa kusafirishwa nje, Serikali ina mkataba na Hospitali ya Apollo ya India na kwamba, Lissu amepelekwa Nairobi kwa sababu familia imeomba.
Hii itabaki kwenye Rekodi za Dunia kwa miaka 1000 ijayo.
 
Back
Top Bottom