DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Hii taarifa iko jukwaani muda mrefu sana

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
jamani mungu akuponye Tundu lisu, akunusuru,watanzania tupo nyuma yako sana. Waliofanya kitendo hiki jamani mungu Kashugulike nao, Amewakosea nn sana? kwa nn? Ivi kweli kutaka kutoa uhai wa mwanadamu mwenzio kweli? mungu katende sawasawa na mapenzi yako
 
Ndicho wanachiweza kufanya, wanateka na kuua watu. Sababu hakuna, Iko siku tu itatimia. Mungu hadhihakiwi na majambazi haya, yatapukutika hata pamya hatabaki kwa usemi wa Zitto Kabwe.

Kinachokuuma ni kitu gani mpaka ukimbilie kutoa uhai wa binadamu mwenzako? Nchi hii sio salama na hatuwezi kuvumilia haya ni bora tufe wote kwani hakuna atakayebaki milele duniani.
 
Get well soon brother Lissu.Mungu wetu ni mwema sana.Kama ukienda kazi aliyokuleta duniani kwayo umeitimiza brother.If you survive...you have unfinished business with this country
..
 
Huu ni uzushi wa lumumba
 
Naamini mungu yupo upande wa watanzania wengi lissu atapona kwa idhini ya Allah lakini kwa hili sijui Tanzania inatakiwa ifikie hatua gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anadhani kwa kumuua Lissu yeye atabaki salama.anajidanganya

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Tunaenda kasi na roho mbaya ya kuuwana na kutekana...very sad

Nothing to fear than fear itself
 
Get well soon Tundu Lissu, tunakusubiri ukaendeleze mapambano na Wezi wa nchi hii; inasikitisha sana kwa kweli; mahaamani hawakuwezi wanatafuta njia ya mkato; Watanzania tunakuombea upone haraka. In Jesus name .... Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…