Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Kwani hujapata taarifa au unachagua ya kushare na sisi?
Amen[emoji122]mungu bado anamkataba na Lissu atatoka hospital mzima!! Kwa Jina la YESU
Waambie mapema maana hatutaelewana.huna lolote wewe mnafiki tu!na ole wenu afe
Walijua nn kitatokea na wakajipanga... Lakini wakumbuke kama NAPE alitishwa mchana kweupe je, hao Lumumba, wanao shabikia humu wataponea wapi? Muuaji hanaga urafiki...Naona mchwa wa lumumba wamejipanga kweli kwa propaganda. Kama kuchokwa, mmechokwa tu.
Hata mkimuua, wataibuka wengi wa aina yake. Destined...
Chacha Wangwe..akili yangu inaniambia hii ni inside job chadema...
......Cocochannel ni wewe umeandika hivi?
Akimbizwe akatibiwe UlayaAkizungumza na kituo cha ITV Mwenyekiti wa CHADEMA Freeaman Mbowe amesema Mbowe "Hali ya Tundu Lisu ni mbaya Sana, na msishangae mkasikia lolote kuanzia sasa"
Sent using Jamii Forums mobile app
CHEZEA MWENYEKITI WEWE YA CHACHA WANGWE YANATAKA KUJIRUDIA[/AKILI YAKO HAITOFAITOFAUTIANI NA USAHA!
Kina nani??Wanataka kumuua Lissu?
Bado unawaamini hao?Naamini aliyefanya hivi bado yuko viunga Dodoma na polisi watafanya kazi yao haraka
Sent using Jamii Forums mobile app