DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Nimepata majonzi makubwa sana jamani khaaaaaa acha tu maana hakuna namna amueni muamuavyo na sisi tutaendelea kuyashuhudia kwa kadri tutakavyojaaliwa ila mkumbuke siku hazigandi Tunakukumbuka KIKWETE.
 
Naona mchwa wa lumumba wamejipanga kweli kwa propaganda. Kama kuchokwa, mmechokwa tu.

Hata mkimuua, wataibuka wengi wa aina yake. Destined...
Walijua nn kitatokea na wakajipanga... Lakini wakumbuke kama NAPE alitishwa mchana kweupe je, hao Lumumba, wanao shabikia humu wataponea wapi? Muuaji hanaga urafiki...

-Domhome-
 
Akati
Akizungumza na kituo cha ITV Mwenyekiti wa CHADEMA Freeaman Mbowe amesema Mbowe "Hali ya Tundu Lisu ni mbaya Sana, na msishangae mkasikia lolote kuanzia sasa"
c457fb7c2bb6ffa2a7b61994cee56dfa.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Akimbizwe akatibiwe Ulaya
 
Watu wanafurahi hata yale ambayo siyakufurahisha....sababu tu ni upande mwengine au itikadi nyengine.... lakini kumbukeni ..hakuna rafiki au adaui wakudumu katika siasa...

kinachowakuta wenzako leo...kesho kinaweza kukuta wewe..ubaguzi huu ni mbaya sana leo tunauwona kwenye siasa,kesho tutauwona kwenye dini ....

Tupande mbegu nzuri kwa manufaa ya kizazi chetu na sisi wenyewe...
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
#forme_formyTanzania
[HASHTAG]#MUNGUNAOMBAMUOKOELISSU[/HASHTAG]
 
Nikihesabu kwa Haraka hapo Naona matundu 19....
Hapo kwa kuwa picha yenyewe imefinywa....
Sijui Jumla zimemiminwa Bullets ngapi



upload_2017-9-7_15-34-15.png
 
Back
Top Bottom