DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu amekimbizwa hospitali mchana huu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana leo mchaa akiwa nyumbani kwake Mkoani Dodoma.

Akizungumza na kituo cha ITV Mwenyekiti wa CHADEMA Freeaman Mbowe amesema Mbowe "Hali ya Tundu Lisu ni mbaya Sana, na msishangae mkasikia lolote kuanzia sasa"

Kwa mujibu wa taarifa zilizopo ni kwamba amekimbizwa hospitali na sasa yupo chumba cha upasuaji.
 
Mnapenda kuombea wenzenu Kifo!! Mungu siyo mtu, waweza tangulia wewe na unayetaka afe, akaja kukuzika.
Kuna watu walinsema mtu fulani kuwa ni mgonjwa, mara ikulu siyo wodini, mara sijui hafiki siku fulani... KILICHOTOKEA WAMETANGULUA WAO... MUNGU HADHIAKIWI
 
**** sentenses

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji40] [emoji40] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji134] [emoji134]
 
mung
Endapo atafariki dunia, italeta shida kubwa kwa serikali kuaminika tena kwa wananchi.
Hali itakuwa mbaya[/QUOTE

Mungu ampone Tundu Lissu.
 
Tuondolee ufisadi wako hapa.

Sherekeheni hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…