DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu amekimbizwa hospitali mchana huu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana leo mchaa akiwa nyumbani kwake Mkoani Dodoma.

Akizungumza na kituo cha ITV Mwenyekiti wa CHADEMA Freeaman Mbowe amesema Mbowe "Hali ya Tundu Lisu ni mbaya Sana, na msishangae mkasikia lolote kuanzia sasa"

Kwa mujibu wa taarifa zilizopo ni kwamba amekimbizwa hospitali na sasa yupo chumba cha upasuaji.
 
Mnapenda kuombea wenzenu Kifo!! Mungu siyo mtu, waweza tangulia wewe na unayetaka afe, akaja kukuzika.
Kuna watu walinsema mtu fulani kuwa ni mgonjwa, mara ikulu siyo wodini, mara sijui hafiki siku fulani... KILICHOTOKEA WAMETANGULUA WAO... MUNGU HADHIAKIWI
 
Hakuna anaeujua ukweli kati yetu so lawama wasipewe serikali, kumbuka pia Lissu ni wakili vipi upande wa aliowashinda kesi, Pia Lissu kajiimarisha vizuri ndani ya Chadema so huenda kuna watu ndani ya chama wanaohofia kasi yake.
Mambo haya tuviachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake ya uchunguzi wa hili tukio la kinyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
**** sentenses

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji40] [emoji40] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji134] [emoji134]
 
Mod naona mnatoa uzi mnawaogopa wanao uwezo wa kuuwa mwili? Ogopa anayeuwa roho.

Naomba tujadili hapa malengo maana hao wauwaji tunaoishi nao au waliowatuma kufanya kazi hiyo.

Kuna siri gani aliyo nayo Lissu hadi kwa kumuuwa ili kuficha maovu yao?

Hata siku moja Lissu sijawai kusikia akigombana na mtu binafsi zaidi ya serikali tena kwa hoja na sio kingine.

Sasa lengo ni kumuuwa sio kingine je kuna siri gani wasiopenda isikike?

Bunduki iliyotumika ni wazi sio bastola ni bunduki yenye uwezo wa kupiga risasi nyingi kwa wakati mmoja (MG) kama smg. Nani anayemiliki na apige na apotee mchana kweupe
mung
Endapo atafariki dunia, italeta shida kubwa kwa serikali kuaminika tena kwa wananchi.
Hali itakuwa mbaya[/QUOTE

Mungu ampone Tundu Lissu.
 
I really love Lissu, I love his integrity, lakini nilishangazwa sana na anavyoponda jitihada za kuwazuia waizi wanaotuibia madini.. Hata kama serikali ilikuwa inakosea njia waliyokuwa wanaitumia, he is a Tanzanian, hakuna ulazima wa yeye kuside na wezi wetu..

I'm really sad for Lissu, lakini pia ajue chama alichopo si cha upinzani.. I wish I could speak the truth lakini siwezi, CDM si chama cha Upinzani. Let me end there...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuondolee ufisadi wako hapa.

Sherekeheni hili.
 
Back
Top Bottom