nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,250
- 1,727
Acheni ujinga subiri ujuwe ukweli unajuwa biashara alikuwa anafanya...Mhusika anajulikana
Watu wasio julikana ndio akina nani hao eti
Yani wewe vyote ulivyoandika ni pumba tupu, msitupotezee hapa ni system tu ndo inahusika, period.
Kama hii picha ni halisi ya gari yenyewe mimi si nabii wala i don't relate to one but...Let's pray hard That God's will be done!!Nikihesabu kwa Haraka hapo Naona matundu 19....
Hapo kwa kuwa picha yenyewe imefinywa....
Sijui Jumla zimemiminwa Bullets ngapi
View attachment 583432
We naye ni msaliti tuNiondoe mm tafadhari!Naamini serikali yangu na si wasaliti!
Mwenyezi Mungu apangiwi. badala tumwombee unaleta vitisho ,akifa utafanya nn sasa?huna lolote wewe mnafiki tu!na ole wenu afe
Sijakuelewa issue imetokea Muda mfupi huu lakini wewe ni kama unajua nini kimefanyika?!!!!!!!I su
I concur with you. Lisu na Chadema wametengeneza hii kitu.....
usalama hawawezi kuuwa kijinga hivyo....
Who are "we"?We are not ready to loose Tundu lissu...
Mungu wangu!Tz tumefikia hapo!Our fellow MP for
Singida East Tundu
Lissu has been shot by
unknown people. He
has been rushed to
dodoma general
hospital~~~Zitto Kabwe
Sijakuelewa issue imetokea Muda mfupi huu lakini wewe ni kama unajua nini kimefanyika?!!!!!!!I su
I concur with you. Lisu na Chadema wametengeneza hii kitu.....
usalama hawawezi kuuwa kijinga hivyo....