barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
juzi si mlikuwa mnasema wale wa cuf rot n hell???Mungu akusamehe sana na akupe maisha marefu sana .
Mungu ni yule yule, hadhihakiwi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
juzi si mlikuwa mnasema wale wa cuf rot n hell???Mungu akusamehe sana na akupe maisha marefu sana .
Daaah! Haujui ulitendaloSubiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
angekua na uungwana asingetukana at first place.
Wakuu,
Inadaiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi.
Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.
Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea Bungeni na alienda Nyumbani kula chakula cha mchana.
Lissu amepigwa risasi 5, miguuni na tumboni.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema hali ya Mbunge huyo aliye hospitalini sasa ni mbaya!
![]()
![]()
![]()
Updates to follow
Watasema nini wakati wanaujua mchongo wote tena sa zingine wao ndo hutumiwa kufanya haya matukio ya political assasinationssijasikia polisi wakisema lolote
Nini ulichoandika ?Hashauriki wala haambiwi kitu huyu mumiani ngoja afe tuone time will tell------
Mnadhani watanzania wa leo hawajitambui, pole sana!Umeongea point sana, kupigwa risasi kwa lisu watu wengi wataituhumu serikali kuwa inahusika hata kama haiusiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tunavomuombeaga mh.Raisi JPM pia tumuombee lisuu bila kujal itakad za chama ili apate nafuu aendelee na majukum bila kusahau ni baba wa familia pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu
Rais JPM Leo amewasihi viongozi wa dini na wananchi waendelee kumuombea.
Haya tuendelee kumuombea, iwapo kweli anastahili maombi yetu..
Watafute Kiki kwa Risasi?