DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Subiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
Daaah! Haujui ulitendalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu atamponya ila DHURUMA HAITASHINDA HAKI, NA WALAANIWE WOTE WALIOPANGA NA KUFANYA USHETANI HUO KWA LISSU IN JESUS NAME, Amen
 
Ing
Wakuu,

Inadaiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi.

Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.

Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea Bungeni na alienda Nyumbani kula chakula cha mchana.

Lissu amepigwa risasi 5, miguuni na tumboni.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema hali ya Mbunge huyo aliye hospitalini sasa ni mbaya!

56d494001b8e52eca1b71490ff9635e4.jpg




9f94cea0e0708e5fafb57915caf1dd27.jpg

abc21fedd617180297c6247f403b7362.jpg


Updates to follow

Taarifa hii ingekuja kabla ya saa saba mchana, basi nisingeweza kula. Sina mengi ya kuandika, maana kuandika au kusema kitu wakati wa huzuni kubwa na hasira kubwa, matokeo yake huwa si mazuri.
 
Kuna watu bado wanashaka juu ya kulipuliwa kwa ofisi zi IMMA! Kuna kitu pale,na naomba wafanyakazi wa IMMA wajilinde sana. Wakimaliza nasi,watakuja kwenu...TL
 
Mungu Azidi Kutetea Na Kumpigania Mh Lisu. Kila Mtanzania Mwnye Mapenzi Mema Tuzidi Kumuombea Ktk Iman Zetu Ili Mungu Ampe Uponyaji Wa Haraka.
 
Kama tunavomuombeaga mh.Raisi JPM pia tumuombee lisuu bila kujal itakad za chama ili apate nafuu aendelee na majukum bila kusahau ni baba wa familia pia

Sent using Jamii Forums mobile app

Tumwombee Lisu na Taifa kwa ujumla. Mungu awe Baba na kiongozi wetu. Bila Mungu kuwa Kiongozi wetu hakuna atakayebaki salama.

Wakuu

Rais JPM Leo amewasihi viongozi wa dini na wananchi waendelee kumuombea.

Haya tuendelee kumuombea, iwapo kweli anastahili maombi yetu..


Ndiyo ni lazima tumwombee. Yeye, Tundu Lissu na wazalendo wote wa nchi hii. Lazima tuwaombee!
 
Back
Top Bottom