DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Inasikitisha sana. Nimeumia sana Lissu ana kiwango cha juu sana ambapo vichwa vya kawaida ni ngumu kumuelewa anachozungumza. Naamini Mungu atamponya. Sitaki kuamini kwamba kwa hili ndo watakua wamemnyamazisha nafikiri ndo watakua wamemuongezea munkari. Viva Lissu VIVA my brother from another family.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka machozi yananitoka..
Eeh Mungu,tuachie basi...msaidie apone
 
Weka bunduki chini tubishane kwa hoja.

Kwani hujapata taarifa au unachagua ya kushare na sisi?

Mungu akuhurumie

Sent using Jamii Forums mobile app

Usaliti wake ni nini?

Cocochanel huwa kuna mambo hayahitaji ushabiki suala hili ni zito kama nikweli kumbuka alae nyama ya mtu huwa hali Mara moja ...ipo siku utayakumbuka maneno haya

I wish ungekufa wewe kisha uone jinsigani watu watashangilia.

tulia tulii utalipwa hapa hapa mungu huwa hacheleweshi

msaliti,kakusaliti kivipi?
tapeli, amekutapeli nini?

Mbona unaongea conspiracies.

Sent using Jamii Forums mobile app

Lets be serious maisha ya mtu si ya kuchezea siasa na propaganda tuweke mbali turudi kwenye ubinadamu na tushindane kwa hoja, tusiharishe kwa mdomo. Kumbuka what goes around comes around.Tupatie ukweli maana inaelekea unajua mengi behind the scene

Karibuni kwa kuni quote humu..

Mnapenda sana kubwabwaja na kiwaga na maneno makali kwa serikali yetu na hampendi kuambiwa ukweli.. ukweli ndio huo na mamlaka waanze kuwachunguza chama cha Chadema na UKAWA.. waende pia kwa wenzake TLS.. lazima kuna wanaojua lililojiri kiundani na mpango gani haukwenda kama ulivyopangwa..

Pia kuna watu wanajua anapokea pesa za malipo ya kuharibu ya serikali nao waojiwe sababu ni wenzake..

Leo Raisi ameongelea kujua mengi pia kwa upande wa mali za Taifa na jambo hili limewaohopesha wengi wahuni, wasaliti na waliojaa tamaa.

Wengi wanajua Mkulu anayajua yote na sasa ni wanataka kutafuta kisingizio hiki kuleta haya mnayodai kuwa ni watawala wanahusika..

Tabu yenu wengi nyie hamjui kukaa na kufikiria.. mnajua kuisema vibaya serikali na hata Raisi mkipata mwanya... sasa ya huyu Lissu mnona mnaweweseka na kutaka kuonyesha mna rojo nzuri wakati tumezoea kuwasoma humu na wenzenu wengiiii.. mmejaa maneno machafu sana wengi wemu pia.

Sasa leo ripoti na uamuzi wa Raisi umewaacha hoi.. mnakuja huku kunidandia kama vile hamjaona wengine wanaosema kuwa ni mipango ya ndani.

Nasema tena mamlaka ianze na hao hao wanaohusika maishani na Lissu nae akipona ahojiwe aseme ukweli na achunguzwe kwanini majambo yake na labda kula pesa za watu wanaomtuma avuruge ya serikali..

Wote tusubiri upelelezi uanze na ukweli utoke.. tena nitafurahi kuona JPM anatoboa siri za wasaliti wa nchi yetu..

Mnajua kuwa serikali hawawezi kuwa wajinga kutenda haya mnayokuwa mnasubiri kuyaona bali wenzenu hao mnaowasjangilia ndio wanajua zaidi.. bila kusahau anavyopenda kutaka kuwa juu zaidi ya wakuu wa Chadema wanavyotaka.. muanze kuulizana nyie mnaopenda kuisingizia serikali kwanza nini kimo ndani ya chumba mlichomo wote.

Hii sasa mtauona ukweli na kukimbia ma kujionea aibu kubwaaaa... haya ya kupangwa na kutendwa na wenyewe.. ila pia labda maagizo yameenda mbali hawakuelewa ni kupiga gari tu.. wakaamua kutaka kummaliza..

Mnaonitukana hayo mtakiwa mmejifunza mlipolelewa ndipo mnaona wa hivyo.

Tunamuombea apone ili ahojiwe na mengine kutendwa juu yake ili tujue ukweli sasa...Serikali inaoenda wananchi wake wote bali upinzani wamezidi sasa na Lissu anajua kuwa anavuka mipaka na hii inaonyesha kuwa hata ile ya bomu alishushuka.. na sasa ya mwenyewe pia hii itakuwa aibu kwake na wote wahusika.

Kuna lingine... vipi ripoti.. JPM sio wa mchezo mchezo mliona na flash.. yaani yupo dakila tano mbele..

Mnaosema nalipwa kwani na nyie mnalipwa kuandika humu mnayoandika!?

Mungu ibariki Tanzania.. wabaya ma waovu wote wapatikane na kuacha kuharibu jina la nchi yetu kwa masalahi yao binafsi yaliyojaa tamaa za pesa za wasiojali nchi yetu.

N.B. kama umeniquote baada ya hawa.. basi nawe usome tu haya.. CIAO
 
Wa
Hakuna anaeujua ukweli kati yetu so lawama wasipewe serikali, kumbuka pia Lissu ni wakili vipi upande wa aliowashinda kesi, Pia Lissu kajiimarisha vizuri ndani ya Chadema so huenda kuna watu ndani ya chama wanaohofia kasi yake.
Mambo haya tuviachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake ya uchunguzi wa hili tukio la kinyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama wewe mnatia kichefuchefu.Vyombo vipi vya usalama vifanye uchunguzi???
 
Ina maana Lissu ni kwanza kupigwa risasi nchi hii? Au ndo mambo ya Double Standard

He is not the first and not the last. Huenda wakaendelea kufa tena na tena ila tunachosema ni kuwa hatukutakiwa kufikia hivi kiasi cha kuona mtu anayepata matatizo hasa kama haya ya kujeruhiwa na watu wasiojulikana ni ya kawaida tu katika jamii.

Hatukuzoea kabisa alianza kutekwa Ben wa Saanane akaja Roma na mwisho walitekwa wale watoto kule Arusha so ikiendelea kuchukuliwa jambo la kawaida jamii yetu itakosa amani.
 
Hakuna anaeujua ukweli kati yetu so lawama wasipewe serikali, kumbuka pia Lissu ni wakili vipi upande wa aliowashinda kesi, Pia Lissu kajiimarisha vizuri ndani ya Chadema so huenda kuna watu ndani ya chama wanaohofia kasi yake.
Mambo haya tuviachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake ya uchunguzi wa hili tukio la kinyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajaribu kutuaminisha upuuzi wako,ambao hata mwanafunz wa s/m hawez kuamini,sembuse Watu wazima,ni aibu sana kujitoa akili kwenye ukwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya watu humu pengine sio binadamu au hawana akili kabisa au ni wauaji wenza. Kuna threads zaidi ya 10 katika muda wa nusu saa zinaandika mambo ya hovyo kupita kiasi. Ni mastaajabu makubwa!

Kwa sasa wengine tunamwomba Mwenyezi Mungu amnusuru na kumponya Lissu.

Ninyi endeleeni na tu siasa na mambo yenu ya ovyo,mkumbuke tu yana mwisho haya.
 
Back
Top Bottom