MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
huu sasa uzezeta, Mwenyezi Mungu apangiwi. badala tumwombee unaleta vitisho ,akifa utafanya nn sasa?
duh!mie sikuelewi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu sasa uzezeta, Mwenyezi Mungu apangiwi. badala tumwombee unaleta vitisho ,akifa utafanya nn sasa?
Ametambua kosa lake ndio maana amerudi kuomba radhi.. Huo ndio uungwanaangekua na uungwana asingetukana at first place.
NASEMA HIVIIKaribuni kwa kuni quote humu..
Mnapenda sana kubwabwaja na kiwaga na maneno makali kwa serikali yetu na hampendi kuambiwa ukweli.. ukweli ndio huo na mamlaka waanze kuwachunguza chama cha Chadema na UKAWA.. waende pia kwa wenzake TLS.. lazima kuna wanaojua lililojiri kiundani na mpango gani haukwenda kama ulivyopangwa..
Pia kuna watu wanajua anapokea pesa za malipo ya kuharibu ya serikali nao waojiwe sababu ni wenzake..
Leo Raisi ameongelea kujua mengi pia kwa upande wa mali za Taifa na jambo hili limewaohopesha wengi wahuni, wasaliti na waliojaa tamaa.
Wengi wanajua Mkulu anayajua yote na sasa ni wanataka kutafuta kisingizio hiki kuleta haya mnayodai kuwa ni watawala wanahusika..
Tabu yenu wengi nyie hamjui kukaa na kufikiria.. mnajua kuisema vibaya serikali na hata Raisi mkipata mwanya... sasa ya huyu Lissu mnona mnaweweseka na kutaka kuonyesha mna rojo nzuri wakati tumezoea kuwasoma humu na wenzenu wengiiii.. mmejaa maneno machafu sana wengi wemu pia.
Sasa leo ripoti na uamuzi wa Raisi umewaacha hoi.. mnakuja huku kunidandia kama vile hamjaona wengine wanaosema kuwa ni mipango ya ndani.
Nasema tena mamlaka ianze na hao hao wanaohusika maishani na Lissu nae akipona ahojiwe aseme ukweli na achunguzwe kwanini majambo yake na labda kula pesa za watu wanaomtuma avuruge ya serikali..
Wote tusubiri upelelezi uanze na ukweli utoke.. tena nitafurahi kuona JPM anatoboa siri za wasaliti wa nchi yetu..
Mnajua kuwa serikali hawawezi kuwa wajinga kutenda haya mnayokuwa mnasubiri kuyaona bali wenzenu hao mnaowasjangilia ndio wanajua zaidi.. bila kusahau anavyopenda kutaka kuwa juu zaidi ya wakuu wa Chadema wanavyotaka.. muanze kuulizana nyie mnaopenda kuisingizia serikali kwanza nini kimo ndani ya chumba mlichomo wote.
Hii sasa mtauona ukweli na kukimbia ma kujionea aibu kubwaaaa... haya ya kupangwa na kutendwa na wenyewe.. ila pia labda maagizo yameenda mbali hawakuelewa ni kupiga gari tu.. wakaamua kutaka kummaliza..
Mnaonitukana hayo mtakiwa mmejifunza mlipolelewa ndipo mnaona wa hivyo.
Tunamuombea apone ili ahojiwe na mengine kutendwa juu yake ili tujue ukweli sasa...Serikali inaoenda wananchi wake wote bali upinzani wamezidi sasa na Lissu anajua kuwa anavuka mipaka na hii inaonyesha kuwa hata ile ya bomu alishushuka.. na sasa ya mwenyewe pia hii itakuwa aibu kwake na wote wahusika.
Kuna lingine... vipi ripoti.. JPM sio wa mchezo mchezo mliona na flash.. yaani yupo dakila tano mbele..
Mnaosema nalipwa kwani na nyie mnalipwa kuandika humu mnayoandika!?
Mungu ibariki Tanzania.. wabaya ma waovu wote wapatikane na kuacha kuharibu jina la nchi yetu kwa masalahi yao binafsi yaliyojaa tamaa za pesa za wasiojali nchi yetu.
N.B. kama umeniquote baada ya hawa.. basi nawe usome tu haya.. CIAO
Basi fanya wewe.Wa
Watu kama wewe mnatia kichefuchefu.Vyombo vipi vya usalama vifanye uchunguzi???
just because alikuwa anaipinga serikali haimaanishi ni serikali ndiyo imefanya huo upuuzi....tusitoe conclusion kirahisi namna hiyo kwa ishu sensitive kama hiimpango umepangwa vizuri na mafisiem
wamefanikiwa kuwagawa watu
bila hizi ripoti feki NCHI ingelipuka
asaiv watao simama na hii situation ya lisu ni wachache na watao simama na sizonje pia ni wachache wengi hawajui wasimame wapi!!!
So technically sirikalee wameshinda
nmeongea hivo sabab nshapata taarifa za uhakika kua ni kweli tukio lmetokea
KWA HARAKAHARAKA NMEANGALIA MAKOVU KATIKA GARI SIO YA BASTOLA INAONESHA NI SILAHA KUBWA NA ZILFATULIWA RAPIDLY kulingana na distance ya tundu 1hadi jingine
je nan anaeza kumiliki silaha ya kivita na kujiamini kiasi hicho?
haya bana siku itayofika mi ntakua wa kwanza.......
sitashangaa watu wakikamatwa na kukiri kisha kufungwa (but they will be fake) ili kutuliza watu
ni mtazamo wangu lkn kuupokea /kuuwacha ni hiyari yako!!!
try me
wajinga kama wewe unaefikia Ku conclude unachokijua wewe kichwani mwako watu wabaya sana nyieWaliingia nazo Clouds
Wakamtishia nayo Nape
Wakazipiga hewani kwa Malima
Lissu anapambania pumzi yake hospital kwa sasa.
Cocochannel ni wewe umeandika hivi?
Cocochannel ni wewe umeandika hivi?
Kuna kitu timu ya Magu haijajua, hawa hawatakiwi kukamatwa mchana.
Do it dirty.