DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

waliompiga risasi Tundu Lissu inaezekana wakawa wanajulikana na watu wa serekali maana Lissu alishawahi kulalamika kuhusian na vijana wa Toyota premio T 460CQV
 
Hii sasa mtauona ukweli na kukimbia ma kujionea aibu kubwaaaa... haya ya kupangwa na kutendwa na wenyewe.. ila pia labda maagizo yameenda mbali hawakuelewa ni kupiga gari tu.. wakaamua kutaka kummaliza..
kumbe unayajua maagizo ilikuwa ni kupiga gari tu...shetani mkubwa wewe
 
Pole sana kwa kamanda Lissu familia yake, ndugu, jamaa na marafiki zake, wanachama wote wa Chadema, chama cha Mawakili Tz na wapenda haki wote. Mungu mkubwa atapata nafuu na kupona kabisa. Kwa kazi yake anastahili kuwa na ulinzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ilikua kisiwa cha amani tangu enzi za mwalimu ila sasa ndio basi tena. Umekuja wakati wa kuchagua upande wa jirani zetu Rwana na Burundi.
Sisi raia tutayainua macho yetu juu kuelekea mbinguni akaapo mwenye haki, naye ndie atakayelipa kisasi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wasiojulikana..... Ninachukia sana hayo maneno. Ni ya kipimbavu kutamkwa

Get well soon Tundu Lissu. Mungu atakuinua [emoji1431]
 
438bb139c4bda95e8be13d25cc9d0bf4.jpg
very sad. kuna mtu analike post kama hii. pole muheshima tundu lisu. Mungu akuponye
 
Hivi yule mkoa fulani hivi, aah nimekumbuka Mara alikujaga juu walimfanyaje kweli! Ukiwa hutokei Ile kanda basi unajisumbua kutunisha misuli! Ila very sad!

SIJUI KESHO.
 
Hakuna anaeujua ukweli kati yetu so lawama wasipewe serikali, kumbuka pia Lissu ni wakili vipi upande wa aliowashinda kesi, Pia Lissu kajiimarisha vizuri ndani ya Chadema so huenda kuna watu ndani ya chama wanaohofia kasi yake.
Mambo haya tuviachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake ya uchunguzi wa hili tukio la kinyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
====

Unavyoandika utadhani ulipanga na wauaji au ulikuwa katika kikao cha kuidhinisha mpango huu.
Mkatengeneza theories fulani za damage control na ndizo unazomwaga hapa kuwazubaisha watu.

Ndugu yangu, jifiche nyuma ya kioo cha kompyuta yako lakini mfanyacho ni sawa na ngedere anayecheka msitu unaoteketea asijue jioni itafika na atahitaji msitu kujisetiri. Kosa la Tundu Lissu ni nini kustahili risasi tano?
 
Karibuni kwa kuni quote humu..

Mnapenda sana kubwabwaja na kiwaga na maneno makali kwa serikali yetu na hampendi kuambiwa ukweli.. ukweli ndio huo na mamlaka waanze kuwachunguza chama cha Chadema na UKAWA.. waende pia kwa wenzake TLS.. lazima kuna wanaojua lililojiri kiundani na mpango gani haukwenda kama ulivyopangwa..

Pia kuna watu wanajua anapokea pesa za malipo ya kuharibu ya serikali nao waojiwe sababu ni wenzake..

Leo Raisi ameongelea kujua mengi pia kwa upande wa mali za Taifa na jambo hili limewaohopesha wengi wahuni, wasaliti na waliojaa tamaa.

Wengi wanajua Mkulu anayajua yote na sasa ni wanataka kutafuta kisingizio hiki kuleta haya mnayodai kuwa ni watawala wanahusika..

Tabu yenu wengi nyie hamjui kukaa na kufikiria.. mnajua kuisema vibaya serikali na hata Raisi mkipata mwanya... sasa ya huyu Lissu mnona mnaweweseka na kutaka kuonyesha mna rojo nzuri wakati tumezoea kuwasoma humu na wenzenu wengiiii.. mmejaa maneno machafu sana wengi wemu pia.

Sasa leo ripoti na uamuzi wa Raisi umewaacha hoi.. mnakuja huku kunidandia kama vile hamjaona wengine wanaosema kuwa ni mipango ya ndani.

Nasema tena mamlaka ianze na hao hao wanaohusika maishani na Lissu nae akipona ahojiwe aseme ukweli na achunguzwe kwanini majambo yake na labda kula pesa za watu wanaomtuma avuruge ya serikali..

Wote tusubiri upelelezi uanze na ukweli utoke.. tena nitafurahi kuona JPM anatoboa siri za wasaliti wa nchi yetu..

Mnajua kuwa serikali hawawezi kuwa wajinga kutenda haya mnayokuwa mnasubiri kuyaona bali wenzenu hao mnaowasjangilia ndio wanajua zaidi.. bila kusahau anavyopenda kutaka kuwa juu zaidi ya wakuu wa Chadema wanavyotaka.. muanze kuulizana nyie mnaopenda kuisingizia serikali kwanza nini kimo ndani ya chumba mlichomo wote.

Hii sasa mtauona ukweli na kukimbia ma kujionea aibu kubwaaaa... haya ya kupangwa na kutendwa na wenyewe.. ila pia labda maagizo yameenda mbali hawakuelewa ni kupiga gari tu.. wakaamua kutaka kummaliza..

Mnaonitukana hayo mtakiwa mmejifunza mlipolelewa ndipo mnaona wa hivyo.

Tunamuombea apone ili ahojiwe na mengine kutendwa juu yake ili tujue ukweli sasa...Serikali inaoenda wananchi wake wote bali upinzani wamezidi sasa na Lissu anajua kuwa anavuka mipaka na hii inaonyesha kuwa hata ile ya bomu alishushuka.. na sasa ya mwenyewe pia hii itakuwa aibu kwake na wote wahusika.

Kuna lingine... vipi ripoti.. JPM sio wa mchezo mchezo mliona na flash.. yaani yupo dakila tano mbele..

Mnaosema nalipwa kwani na nyie mnalipwa kuandika humu mnayoandika!?

Mungu ibariki Tanzania.. wabaya ma waovu wote wapatikane na kuacha kuharibu jina la nchi yetu kwa masalahi yao binafsi yaliyojaa tamaa za pesa za wasiojali nchi yetu.

N.B. kama umeniquote baada ya hawa.. basi nawe usome tu haya.. CIAO
Sina tusi la kukutukana Ila kwasasa niseme tu
NIMEKUDHARAU SANA.
 
We can not accept this at all.Mungu mpiganie Lissu apone. We need him.Nilikuwaga nasikia tu Mobutu alivyokuwa anauwa wapinzani. Now it is happening in my country Tanzania. Wapi amani?Tanzania stand up.
Mkuu, is it confirmed kwamba nani amefanya hili tukio?
 
Muda wakutafta bastola ikae kiunoni iwe mwendo wakujibidhana maana tutakufa wengi
 
Back
Top Bottom