DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Wanataka kumuua AIBU YAO
Coward Government Coward leaders
Hizo damu wanazozimwaga kuanzia kina Saanane hadi kina Lissu zitakuja kuwa cost, damu ya mtu haimwagikaji bure hata siku moja
 
Ukitazama picha ya tukio, kuna matundu zaidi ya 14 ya risasi kwenye ubavu wa kushoto pekee.

Akipona Lissu ni miujiza ya Muumba wake.
 
xng hua
😀😀😀😀😀
Inawezekana kabisa ni tukio la kihalifu tu la kawaida,tutajuaje labda alitakiwa kuporwa hiyo V8.
Ni mapema sana ku jump into conclusion kama bavicha mnavyofanya,tumuombee kwanza Tundu apate nafuu na tusubiri taarifa ya polisi
we uliona wapi mwizi anaharibu mali anayotaka kuiba?

anyway m nmeongea ivo kulingana na viashiria na kuchambua taarifa nlzonazo/nlzopata

try me
 
mie sidhani kama watz wanaweza fanya hiki kitu mkuu, watakuwa jamaa wa kule kwa akina amavubhu manake niliwahi ona uzi humu kuwa hawa jamaa wapo kwetu tena kwenye kitengo nyeti, sisi watz hatujafikia hivyo, tunaweza tukawa ni masterplan lakini kufanikisha sie hatuwezi, hatujafika huko mkuu, tunajijua sana watz
Hata kule au wao walianza hivi hivi. Kisha Giza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa risasi zile, hapa tutegemee miujiza ya Mungu na sala zetu tu,
Ndugu yangu tuombe sana Mungu amponye maana usiku wa kuamkia leo niliota kuna mtu amefyatuliwa risasi halafu baadaye nikaota nimepata taarifa ya mdogo wangu kufa.Sasa kulingana na tukio hili sijui kama hakutakua na uhusiano
 
Kuna tetesi siyo nzuri..! Tuwe na vifua la sivyo yaweza kuwa simanzi kuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Subiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
Nimesikitishwa sana na hii comment yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema huu utoto mkawadanganye wajinga ...tunajua mnafanya huu utoto kusaka huruma na kuonesha kuwa serikali ina husika! Hili halina tofauti na yale mabomu ya Arusha!
Chadema acheni utoto
Tema mate niwachape mtoto mzuri.
 
Muwe makini na Michango yenu kwenye huu Uzi. Unafuatilia na watu mbalimbali kwa ukaribu kwa kila post inayotumwa hapa.
 
Back
Top Bottom