Super Don
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,978
- 1,781
Ushindwe na ulegee kwa jina la yesuKwa hizi risasi kupona itakuwa muujiza. Lakini pia hata akipona anaweza kuwa na ulemavu wa kudumu, hasa miguuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindwe na ulegee kwa jina la yesuKwa hizi risasi kupona itakuwa muujiza. Lakini pia hata akipona anaweza kuwa na ulemavu wa kudumu, hasa miguuni.
we uliona wapi mwizi anaharibu mali anayotaka kuiba?xng hua
😀😀😀😀😀
Inawezekana kabisa ni tukio la kihalifu tu la kawaida,tutajuaje labda alitakiwa kuporwa hiyo V8.
Ni mapema sana ku jump into conclusion kama bavicha mnavyofanya,tumuombee kwanza Tundu apate nafuu na tusubiri taarifa ya polisi
Kwa kipindi hiki mtu anaweza akaupaa ukweliuwe makini na maneno mepesimepesi kipindi hiki. usiwe mwepesi kuropoka.
Hata kule au wao walianza hivi hivi. Kisha Gizamie sidhani kama watz wanaweza fanya hiki kitu mkuu, watakuwa jamaa wa kule kwa akina amavubhu manake niliwahi ona uzi humu kuwa hawa jamaa wapo kwetu tena kwenye kitengo nyeti, sisi watz hatujafikia hivyo, tunaweza tukawa ni masterplan lakini kufanikisha sie hatuwezi, hatujafika huko mkuu, tunajijua sana watz
Ndugu yangu tuombe sana Mungu amponye maana usiku wa kuamkia leo niliota kuna mtu amefyatuliwa risasi halafu baadaye nikaota nimepata taarifa ya mdogo wangu kufa.Sasa kulingana na tukio hili sijui kama hakutakua na uhusianokwa risasi zile, hapa tutegemee miujiza ya Mungu na sala zetu tu,
wao kina nani kuwa specific kidogo.
Nimesikitishwa sana na hii comment yako.Subiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
Wewe Mungu au ni tabibu, subiri Rehema za Mungu sawa.Kwa hizi risasi kupona itakuwa muujiza. Lakini pia hata akipona anaweza kuwa na ulemavu wa kudumu, hasa miguuni.
Tema mate niwachape mtoto mzuri.Chadema huu utoto mkawadanganye wajinga ...tunajua mnafanya huu utoto kusaka huruma na kuonesha kuwa serikali ina husika! Hili halina tofauti na yale mabomu ya Arusha!
Chadema acheni utoto