DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Kama tunavomuombeaga mh.Raisi JPM pia tumuombee lisuu bila kujal itakad za chama ili apate nafuu aendelee na majukum bila kusahau ni baba wa familia pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani wewe vyote ulivyoandika ni pumba tupu, msitupotezee hapa ni system tu ndo inahusika, period.

Hiyo system ilimueka kizuizini na akatoka salama salmin. Acheni kujump into conclusion . JPM hahusiki . Hawa ni mabepari wana nia mbaya na Yaifa letu.
 
d9f20dc46b075ad9218b32b19a02f2ff.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatakuwa wa kwanza jiulize hawa waliuwawa kisa nini JOHN F KENNEDY MARTIN LUTHER YITZHAK RABIN KOLIMBA CHIFUPA KOMBA KOMBE SAITOTI
 
In the name of most high God ,Get well soon Tundu Lisu
 
Lakini hawa "watu wasiojulikana" ndio wale wale waliokuwa na Mh. Makonda na kuivamia clouds tv au ni wengine??

kwa nini serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania haitaki kusema ukweli kuhusu haya matukio ya kutisha?

Yanafichwa kwa faida ya nani wakati yanatumaliza sisi watanzania wenyewe?
Damu zetu zitawarudia tuliowapa dhamana ya kutuongoza .AMEN
 
Our fellow MP for
Singida East Tundu
Lissu has been shot by
unknown people. He
has been rushed to
dodoma general
hospital~~~Zitto Kabwe
Mungu wangu!Tz tumefikia hapo!
Ee Mwenyenzi Mungu tankuomba uwalinde hawa wapiganaji wetu kwa isingekuwa wao,tusingekuwa na uelewa mkubwa kiasi hiki kuhusu yanayoendelea ktk nchi yetu!
 
Ndio tabia yao hiyo...hamkumbuki Dr sengondo Mvungi walimpiga mapanga akafia south.
huo ushamba Mtupu .Au mapinduzi ya wa liberia? Kikwete Mh mwenywe ana mkubali.

mwisho
ngoja niombe uraia nibaki huku tuu bongo nyoso
 
Back
Top Bottom