DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

GET WELL SOON OUR HERO .MUNGU INGILIA KATI UMPONYE NDUGU YETU HUYU.
 
kwa risasi zile, hapa tutegemee miujiza ya Mungu na sala zetu tu,
Ndugu yangu tuombe sana Mungu amponye maana usiku wa kuamkia leo niliota kuna mtu amefyatuliwa risasi halafu baadaye nikaota nimepata taarifa ya mdogo wangu kufa.Sasa kulingana na tukio hili sijui kama hakutakua na uhusiano
 
You are living to your true colours. Asante kwa maelezo marefu
 
Kwa hizo risasi zilizo gonga hapo kupona ni 5% nyingine iliyo baki ni Muumba anaye jua.....
 
only God can judge Him!
Kule fb kuna mtu kanukuu kauli ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…