cerengeti
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,878
- 1,626
Kwa nini isiwe otherwise?akili yangu inaniambia hii ni inside job chadema...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini isiwe otherwise?akili yangu inaniambia hii ni inside job chadema...
Unasema? Rudi ueleze vzuriAsante Mungu Amepona, Mungu kampigania mbele ya adui zake.
Kutoka 14:14 Bwana atawapigania ninyi,nanyi mtanyamaza kimya.
Ndugu yangu tuombe sana Mungu amponye maana usiku wa kuamkia leo niliota kuna mtu amefyatuliwa risasi halafu baadaye nikaota nimepata taarifa ya mdogo wangu kufa.Sasa kulingana na tukio hili sijui kama hakutakua na uhusianokwa risasi zile, hapa tutegemee miujiza ya Mungu na sala zetu tu,
akili yangu inaniambia hii ni inside job chadema...
You are living to your true colours. Asante kwa maelezo marefuKaribuni kwa kuni quote humu..
Mnapenda sana kubwabwaja na kiwaga na maneno makali kwa serikali yetu na hampendi kuambiwa ukweli.. ukweli ndio huo na mamlaka waanze kuwachunguza chama cha Chadema na UKAWA.. waende pia kwa wenzake TLS.. lazima kuna wanaojua lililojiri kiundani na mpango gani haukwenda kama ulivyopangwa..
Pia kuna watu wanajua anapokea pesa za malipo ya kuharibu ya serikali nao waojiwe sababu ni wenzake..
Leo Raisi ameongelea kujua mengi pia kwa upande wa mali za Taifa na jambo hili limewaohopesha wengi wahuni, wasaliti na waliojaa tamaa.
Wengi wanajua Mkulu anayajua yote na sasa ni wanataka kutafuta kisingizio hiki kuleta haya mnayodai kuwa ni watawala wanahusika..
Tabu yenu wengi nyie hamjui kukaa na kufikiria.. mnajua kuisema vibaya serikali na hata Raisi mkipata mwanya... sasa ya huyu Lissu mnona mnaweweseka na kutaka kuonyesha mna rojo nzuri wakati tumezoea kuwasoma humu na wenzenu wengiiii.. mmejaa maneno machafu sana wengi wemu pia.
Sasa leo ripoti na uamuzi wa Raisi umewaacha hoi.. mnakuja huku kunidandia kama vile hamjaona wengine wanaosema kuwa ni mipango ya ndani.
Nasema tena mamlaka ianze na hao hao wanaohusika maishani na Lissu nae akipona ahojiwe aseme ukweli na achunguzwe kwanini majambo yake na labda kula pesa za watu wanaomtuma avuruge ya serikali..
Wote tusubiri upelelezi uanze na ukweli utoke.. tena nitafurahi kuona JPM anatoboa siri za wasaliti wa nchi yetu..
Mnajua kuwa serikali hawawezi kuwa wajinga kutenda haya mnayokuwa mnasubiri kuyaona bali wenzenu hao mnaowasjangilia ndio wanajua zaidi.. bila kusahau anavyopenda kutaka kuwa juu zaidi ya wakuu wa Chadema wanavyotaka.. muanze kuulizana nyie mnaopenda kuisingizia serikali kwanza nini kimo ndani ya chumba mlichomo wote.
Hii sasa mtauona ukweli na kukimbia ma kujionea aibu kubwaaaa... haya ya kupangwa na kutendwa na wenyewe.. ila pia labda maagizo yameenda mbali hawakuelewa ni kupiga gari tu.. wakaamua kutaka kummaliza..
Mnaonitukana hayo mtakiwa mmejifunza mlipolelewa ndipo mnaona wa hivyo.
Tunamuombea apone ili ahojiwe na mengine kutendwa juu yake ili tujue ukweli sasa...Serikali inaoenda wananchi wake wote bali upinzani wamezidi sasa na Lissu anajua kuwa anavuka mipaka na hii inaonyesha kuwa hata ile ya bomu alishushuka.. na sasa ya mwenyewe pia hii itakuwa aibu kwake na wote wahusika.
Kuna lingine... vipi ripoti.. JPM sio wa mchezo mchezo mliona na flash.. yaani yupo dakila tano mbele..
Mnaosema nalipwa kwani na nyie mnalipwa kuandika humu mnayoandika!?
Mungu ibariki Tanzania.. wabaya ma waovu wote wapatikane na kuacha kuharibu jina la nchi yetu kwa masalahi yao binafsi yaliyojaa tamaa za pesa za wasiojali nchi yetu.
N.B. kama umeniquote baada ya hawa.. basi nawe usome tu haya.. CIAO
Endelea kuandika upendavyo , majuto ni mjukuu .juzi si mlikuwa mnasema wale wa cuf rot n hell???
Mungu ni yule yule, hadhihakiwi!!
Aiseee[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Kuna tetesi siyo nzuri..! Tuwe na vifua la sivyo yaweza kuwa simanzi kuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Aiseee[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Kuna tetesi siyo nzuri..! Tuwe na vifua la sivyo yaweza kuwa simanzi kuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Wale wazungu wa madini, na wale wa bombadia niwanyonge sio!Hii sirikali ya hovyo sana imefeli kila kona inaua watetezi wanyonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki.Kila raia wa nchi hii anayemwabudu Mungu!. Tena yeye hataona kama kalazimishwa ila ataona kakukmbushwa wajibu wake kama jinsi Mungu anavyosema.
Wewe hutaki?