DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Wakati tukimwombea Mh Lissu apate nafuu haraka, pia tujikumbushe kuzingatia umuhimu wa kuishi katika jamii kwa kuheshimiana
 
hapa ni maombi tu ndo yanaitajika. uchunguzi na speculations waachieni polisi. Why wasting time hating while his life is on the line...
 
So disgusting lakini ili taifa likombolewa ni muhimu kupitia mapito haya ambayo sio lazima wote wapitie but only few people will sacrifice themselves for the sake of majorities..na hili linatoa true picture kwamba we have been living for so long in what is called neo colonialism till the arrival of a state hero Hnr.Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au ni kiki za kutaka kuzima habari za kamati za almasi?
 
only God can judge Him!
Kule fb kuna mtu kanukuu kauli ya mtu

Mungu mbariki Lisu
Mungu ibariki CHADEMA
Mungu ibarik TZ.
 
Hatimae wametimiza hitaji lao mungu simama upande wake. Amina
 
Motives zipo nyingi sana.

Tusubiiri taarifa zaidi.

Pole sana Lisu​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…