Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Ilianza Kwa Sheikh Ponda Polisi wamtaka Sheikh Ponda ajitokeze kusema nani alimpiga risasi Na wengi Tukaona ni Udini tu na wala si Tukio la Ajabu au Kuumiza Kichwa...
Kumbe Tumesahau Kuwa "MLAMBA ASALI HALAMBI MARA MOJA"... Sasahivi Yanakuja Mpaka Kwa Wanasiasa sasa...
Inaonesha Tanzania inataka Kuiga Mfumo wa Utawala Wa Kenya Kumuangamiza kila Wanaehisi ni Obstacle kwao..