DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Hapo mwisho nimekuelewa mkuu

Tatizo kuna watu wanahukumu moja kwa moja
 
Hii taarifa yako ni njema sana.. Tunazidi kumwombea yeye, madaktari na manesi ili Mungu awaongoze katika kazi zao
 
Sasa hivivitu vinaonesha anayoyasema nikweli ndio maana anapata masaibu hayaa mungu muoneehuruma nautunee huruma sisi mponyeshe tundu lisu hakuna sababu ya kuuwana kesho waweza kusikia yuko chama kingine na akawa msaada vilevile
 
Aibu kubwa sana hii kwa nini umuue kama upo kwenye mstari sahihi?
Inawezekana ikawa watu wapo katika mstari sahihi usio sahihi huku wakijiaminisha na kutaka kuaminisha wengine kuwa huo ndio mstari sahihi ilhali umepinda.
Majibu ya hoja yanapokosekana mambo mawili hujitokeza:
1. Matusi
2. Mabavu
 
Sikuelewi sijui unafanya nini.

Unachotaka kusema ni nini hasa? Kwa hiyo walipofariki BAVICHA ndioy waliwaua au Unataka nini? Mimi sikuelewi na sijui nani kamrudi nani.

Unataka nini hasa?
Unafikiri na mimi ninakuelewa?
 
Matatizo ya kawaida yanayoweza mtu kushambuliwa ni majambazi ya gari au waliodhulumiwa na yule mwanasheria wa mikataba na kuchukizwa na kauli za mtetezi wake, au adui zake wa kazi au mapenzi au kitaifa na mashabiki wanaochukizwa na kauli zake au wabaya wake wa kisiasa ndani ya chama chake na nje ya chama chake
 









Siasa zaBongo ndo zimefikia hapa [emoji31][emoji31][emoji31]


Tukutane 2020.................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…