Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
AMINA! Mungu mkubwaMungu mbariki Tundu Lissu , Mungu ibariki Chadema .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AMINA! Mungu mkubwaMungu mbariki Tundu Lissu , Mungu ibariki Chadema .
Yupo Mungu asiyeshindwaHawakua na nia ya kumuua
Wakitaka muonesha kuwa wanaweza muua
Hawakupendezwa na alichosema
Aiseee
Pole Lissu
Hapo mwisho nimekuelewa mkuuKiukweli mimi sijakuelewa hata umeandika nini, ila nikusahihishe tu hiyo report ni ya kamati ya Bunge,anachokifanya Rais hakuna anekipinga sote tunajua jinsi hii nchi ilivyotafunwa, tumuombee mwenzetu apate afya njema.
ila ningeshauri ukae kimya tuache vyombo vya usalama vifanye kazi kubaini nini hasa kimetokea.
Nimehesabu ziko 18kwa hiyo unataka afe mkuu, naona vx jeusi likiwa na tundu 2 za risasi,
Wapi hukoKUNA JAMAA ALIOMBA KUMUUA Tundu Lissu na message zilisomwa. Kama wanania ya kumpata muuaji tayari wana namba yake.
Hii taarifa yako ni njema sana.. Tunazidi kumwombea yeye, madaktari na manesi ili Mungu awaongoze katika kazi zaoNimeongea na Dodoma Regional Referral hospital muda si mrefu ndiyo ameingizwa chumba cha upasuaji kwa Huduma za zaidi kuokoa maisha tusubiri yatakayojiri ila team ya madaktari na nurses na wengine wako busy kuhakikisha wanaokoa maisha ya Tundu Lissu.
Maombi yenu muhimu wana JF.
Inawezekana ikawa watu wapo katika mstari sahihi usio sahihi huku wakijiaminisha na kutaka kuaminisha wengine kuwa huo ndio mstari sahihi ilhali umepinda.Aibu kubwa sana hii kwa nini umuue kama upo kwenye mstari sahihi?
Mungu akusamehe sana na akupe maisha marefu sana .
Unafikiri na mimi ninakuelewa?Sikuelewi sijui unafanya nini.
Unachotaka kusema ni nini hasa? Kwa hiyo walipofariki BAVICHA ndioy waliwaua au Unataka nini? Mimi sikuelewi na sijui nani kamrudi nani.
Unataka nini hasa?
Nimehesabu ziko 18
Muulize Kenule Beeson atakuambia maana yeye nae alionywaOnyo la aina gani? Kwa ajili gani? Wengine mashoga eti eh?