Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Slaa alivunjika mkono mkewe mimba ikaharibika na bado ni msaliti.... No one knows the future ni mawazo tuu
Kiburi cha uzima hicho. Usifurahie sana matatizo ya wenzako Junior!!Anatafuta kiki tu huyo
Anafikiri ndo namna ya kuzima nyota ya Magu
Hata farao alikuwa na mamlaka lakini Mungu kupitia kwa Mussa aliyakataa, nayo si yalitoka kwa Mungu?
Wewe unauhakika gan kua waliteswa ??? Unatwgemea serikali inaweza kukukamata wewe usiwe nahatia ???? Wakutese wakufunge nahuna hatia????na wale masheikh waliofungwa na kuteswa walimfanyia nani ugaidi ???
bado hajaondoka hapo Dodoma?
Utachonga sana lakini kwa sasa ni umbea, udaku na shutuma zisizo na ushahidi wowote ule.Kumbe mmempiga risasi ili anyamaze, nyambafu mkubwa, mbinu zenu zimeshajulikana mwambieni anayewapa kichwa kuja humu kujibu utumbo hata yeye kuna siku atakufa.
Wewe unauhakika gan kua waliteswa ??? Unatwgemea serikali inaweza kukukamata wewe usiwe nahatia ???? Wakutese wakufunge nahuna hatia????
Tusiongee kwahisia za udini ......hata serikali nao wanaakili na roho za huruma.