DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Ukitazama kwa makini hizo tundu za risasi kwa wanaozifahamu silaha watakuambia hiyo silaha siyo ndogo, ni silaha mahsusi kwa kazi hiyo.
Tundu za risasi zafanana na zile za .338 Lapua Magnum ambazo ukizitumia kwenye L39A1, The ugly Mauser SP66 ama zile za British Army ambazo wao huziita Sniper Rifle L96A1 aka PM (Post Mortem) basi binafsi nachelea kusema hao jamaa wamechemka kwenye jambo walilokuwa wamedhamiria kufanya dhidi ya TL.
Kama wametumwa basi leo haiishi lazima waionje 6*6, ila kama wamejituma nachelea kusema ni WAZEMBE MNO.
 
Slaa alivunjika mkono mkewe mimba ikaharibika na bado ni msaliti.... No one knows the future ni mawazo tuu

Hiyo ilikuwa ajali kazini, hakuna aliyekusudia kuwaua. Kumiminiwa Riasasi kama Nguvu siyo kitu cha kufananishwa na kupigwa fimbo
 
Natokwa na machozi Namuomba Mungu amlinde Lissu Mbona haya hayamkuti sizonje? Benn Kapotea Lissu Risas du very painful.
 
Huyu jamaa amepinga mikataba na sheria za madini tangu miaka ya 1998 lakini hakuwahi kushambuliwa na mtu yeyote hata kwa mapanga. Nini kimebadilika sasa? not insinuating anything, just asking.
 
On arrival atakuwa transit usiniulize wapi all the best jirani yangu
 
na wale masheikh waliofungwa na kuteswa walimfanyia nani ugaidi ???
Wewe unauhakika gan kua waliteswa ??? Unatwgemea serikali inaweza kukukamata wewe usiwe nahatia ???? Wakutese wakufunge nahuna hatia????

Tusiongee kwahisia za udini ......hata serikali nao wanaakili na roho za huruma.
 
d018a521d3eca43fdfb87c323570c869.jpg
Haitaji elimu ya darasa la 7.
 
Tundu lisu
Roma mkatoliki
Rais karume wa zanzibar
N.k.
Hahaa hahaa. Kwa tanzania hakuna kipya sema ni muendelezo wa matukio....

NB:. inabidi tubadilike na kujitambua ..tuuuuuuuuu




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe mmempiga risasi ili anyamaze, nyambafu mkubwa, mbinu zenu zimeshajulikana mwambieni anayewapa kichwa kuja humu kujibu utumbo hata yeye kuna siku atakufa.
Utachonga sana lakini kwa sasa ni umbea, udaku na shutuma zisizo na ushahidi wowote ule.
 
Wewe unauhakika gan kua waliteswa ??? Unatwgemea serikali inaweza kukukamata wewe usiwe nahatia ???? Wakutese wakufunge nahuna hatia????

Tusiongee kwahisia za udini ......hata serikali nao wanaakili na roho za huruma.



TULIWAONA MAHAKAMANI NA WALISEMA WENYEWE NA SERIKALI HAIJAKANUSHA KWA USHAHIDI
 
Back
Top Bottom