DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Tunakuombea kwa Mola akupe uponyaji wa haraka, mipango ya shetani ikashindwe kwa jina la Mungu aliye hai. Amen.
 
TULIWAONA MAHAKAMANI NA WALISEMA WENYEWE NA SERIKALI HAIJAKANUSHA KWA USHAHIDI
Sasa unajua sijui sheria ,,lkn naamin sheria IPO wazi ,kosa nalimethibitika unafungwa ,,kosa halijasthibitika unaachiwa huru.

Kwamaelezo yako ,nikwamba Wameonewa nahawana makosa ,, kama wewe ni mwanasheria naunajua sheria IPO wazi na itawakomboa Wasimamie au muungane wanasheria muwasaidie hao ..........wawe huruuu.

Kinyume nahapo serikali yenyewe inaamin kua wanamakosa full stop.
 
Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka chumba cha upasuaji akiwa na fahamu na sasa anapelekwa Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi.
SAFI, APELEKWE KWA WASHUA, KUOKOA MAISHA YAKE.

KWA AINA HII YA KUVIZIANA KUTAKA KUUANA BILA SABABU ZINAZOELEWEKA ITATUCHUKUA MIAKA 500 KUFIKIA MAENDELEO YA MAJIRANI ZETU WA KENYA
 
Mheshimiwa Mbowe kajuaje kama silaha iliyotumika ni SMG?
angalia ubavuni mwa gari upande wa abiria utealewa ile ni mashine kubwa


pia mabaki ya risasi yapo lazima itambulike ni silaha ya namna gan
 
Back
Top Bottom