ila kuna watu wana mungu wao aisee matundu ya risasi hapo kwenye gari yapo kama 20 hivi mweeeeee!! mwe! mwe!! kweli mungu si maulidi na walio shiriki kutenda thambi hii mungu waumbue kwa wakati wako tena waanike peupeeeee,We can not accept this at all.Mungu mpiganie Lissu apone. We need him.Nilikuwaga nasikia tu Mobutu alivyokuwa anauwa wapinzani. Now it is happening in my country Tanzania. Wapi amani?Tanzania stand up.