DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

mmh jaman hi Tanzania sasa imekuwa ni ya jabu kweli binadamu wamegeuka chui wa kuwajerui binadamu wengine. mungu bariki Tanzania
 
Serikali inayojua sheria inayovunja mikataba ovyoovyo hatimae tunaliposhwa mabilion
Serikali inayofata sheria inayokula rambirambi
Serikali inayofata sheria inayomkumbatia jambazi mwenye vyeti feki tena aliyeghushi had majina

Ndo serikali hii inayofata sheria?!
 
Pole sana Mkuu, sikutegemea hata siku moja kuona nchi yetu inafikia hapa kwa kutaka kumuua mtu ambaye hana hatia yeyote ile zaidi ya kufanya wajibu wake kama raia na mbunge.

Siku chache tu zilizopita Kikwete alitamka hadharani kwamba wapinzani si maadui wa Serikali na leo hii Kamanda Lissu pamoja na kuwa hana hatia yeyote ile walikusudia kumuua!

Siku chache pia zilizopita aliongea hadharani kwamba watu walikuwa wanamfuatilia na gari na namba akaziweka hadharani lakini Serikali haikusema chochote kuhusu tuhuma za Kamanda Lissu.

Mkuu nimepoteza ujasiri kwa sasa,sijui lipi la kusema,Tuombe MUNGU amponye
 
Hizp namba ni za gari ya hao walipiga risasi au sijaelewa?
Ndiyo wafuatiliaji aliowaripoti kwa IGP mapema!! wanaelewa wauaji haswa!! Tunawahitaji. Kwa watu wenye mapenzi mema mlio TRA central registry tupeni jina la mmiliki chonde chonde.
 
Inasikitisha sana sana namuombea lissu ayashinde majaribu na mungu amponye huyu mtu ndio mtetez wetu sie ametufanya tuyajue mengi sana kupitia yeye
 
Aluta continua, viva lissu viva....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…