DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

We can not accept this at all.Mungu mpiganie Lissu apone. We need him.Nilikuwaga nasikia tu Mobutu alivyokuwa anauwa wapinzani. Now it is happening in my country Tanzania. Wapi amani?Tanzania stand up.
ila kuna watu wana mungu wao aisee matundu ya risasi hapo kwenye gari yapo kama 20 hivi mweeeeee!! mwe! mwe!! kweli mungu si maulidi na walio shiriki kutenda thambi hii mungu waumbue kwa wakati wako tena waanike peupeeeee,
 
Akipona hapo itabidi ajifunze kuutumia mdomo wake vizuri.
brain ndogo siku zote zitakuwa na mawazo kama haya, ndo maana ukombozi utachelewa sana na umaskini vimepiga kambi kwenye maisha ya watanzania wengi, kijana kama huyu unaweza kuelewa udogo wa akili yake kwa fikra kama hizi, hajui wakikosa watu wa kupaza sauti ni nini kinatokea, hajui kwanini swala la uhuru wa mawazo lilipitishwa na kusainiwa, hajui ni kwamba kuna aina za watu ambao hata ufanyeje huwezi kuwanyamazisha, hajui faida za watu kama Lisu (wellinformed) hajui anataka nini ili awe na maendeleo, anajiangalia alipo na ndugu kidogo labda basi anahisi hayo ndo maisha, tuna mijitu ya ajabu, mijinga, mipumbavu, mijitu ya hovyo kuliko choo cha sebuleni, TUTASUBIRI SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…