AMENA DARK DAY TO THE DEMOCRACY AND FREEDOM OF SPEECH IN TANZANIA AND AFRICA AT LARGE IF NOT THE WORLD.
STAY STRONG COMRADE AND HOLD TIGHT, WE STILL NEED YOU.
MY PRAYER ARE WITH YOU AND YOUR BELOVED FAMILY
UCHAGUZI NDANI YA CHAMA NI LINI?Hao "Watu wasiojulikana" ndo akina nani?!! Mi najua ndo walioBomb Imma Advocates, ndo waliomteka ROMA na ndo waliompiga risasi Mh. Tindu Lissu.
Hao ndo watu wasiojulikana. Naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhimbili ni rahisi kummaliza maana motive yao asiende marekani kule alikoalikwa. But as far as God is concerned He will protect him because as from now the angels are surrounding himtumeambiwa muhimbili mara hii ghafla anapelekwa nairobi tena...anyway tunamuombea ahueni naimani Mungu ataeka mkono wake
Nahenda kujua habali za tindulisu
Sasa unajua sijui sheria ,,lkn naamin sheria IPO wazi ,kosa nalimethibitika unafungwa ,,kosa halijasthibitika unaachiwa huru.
Kwamaelezo yako ,nikwamba Wameonewa nahawana makosa ,, kama wewe ni mwanasheria naunajua sheria IPO wazi na itawakomboa Wasimamie au muungane wanasheria muwasaidie hao ..........wawe huruuu.
Kinyume nahapo serikali yenyewe inaamin kua wanamakosa full stop.
Mungu ni mwema sana yupo salama kabisaPicha? Yuko hai kweli?
Hakika!!!! Sifa, na utukufu virudi kwake.ooooh! hallelujah!!
Yehova Yire, Yehova Sharma, Yehova Nissi....heshima, mamlaka, utukufu, enzi, ukuu, utiisho - vyote ni vyako!