DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

A DARK DAY TO THE DEMOCRACY AND FREEDOM OF SPEECH IN TANZANIA AND AFRICA AT LARGE IF NOT THE WORLD.

STAY STRONG COMRADE AND HOLD TIGHT, WE STILL NEED YOU.

MY PRAYER ARE WITH YOU AND YOUR BELOVED FAMILY
AMEN
 
Yaani Inamaana tanzania hakuna hospital ya kutibu majeraha ya risasi
 
Watu wasiojulikana wapo magogoni., bosi wao anawajua.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Get well soon broda.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
tumeambiwa muhimbili mara hii ghafla anapelekwa nairobi tena...anyway tunamuombea ahueni naimani Mungu ataeka mkono wake
Muhimbili ni rahisi kummaliza maana motive yao asiende marekani kule alikoalikwa. But as far as God is concerned He will protect him because as from now the angels are surrounding him

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa nini hao watu wasiojulikana hawakamatwi?
ina maana kwa matukio yote hayo vyombo vya dola vimeshindwa kuwatambua watu wasiojulikana?
 
Lissu amepelekwa Nairobi kwa ajili ya kuokoa maisha yake!
 
Sasa unajua sijui sheria ,,lkn naamin sheria IPO wazi ,kosa nalimethibitika unafungwa ,,kosa halijasthibitika unaachiwa huru.

Kwamaelezo yako ,nikwamba Wameonewa nahawana makosa ,, kama wewe ni mwanasheria naunajua sheria IPO wazi na itawakomboa Wasimamie au muungane wanasheria muwasaidie hao ..........wawe huruuu.

Kinyume nahapo serikali yenyewe inaamin kua wanamakosa full stop.


SAWA WANAOTETEA WANYONGE NDIO HAWA WANA PIGWA RISASI KUNYAMAZISHWA ITAKUWA SISI
 
Kwa nini wasijulikane..Na kwa nini wahalifu ndio watu wasio julikana tu na bado wakikamatwa wanabakia kua wasiojulikana?

young kilimanjaro
 
Back
Top Bottom