DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

MUNGU ENDELEA KUTENDA MIUJIZA ,NAOMBA BABA UMPONYE HARAKA SANA BABA YETU MPENDWA TENA WA PEKEE, Waliompiga lisasi MUNGU kawanyooshe,Ukawaumbue mchana kweupe safe vivo vibaya tena vya mateso,
 
SAWA WANAOTETEA WANYONGE NDIO HAWA WANA PIGWA RISASI KUNYAMAZISHWA ITAKUWA SISI
Mkuu nilazima tujifute matope ya unafiki ktk nyuso zetu.....Tundu lissu ivi anatetea taifa au nayeye anatumika kuliumiza taifa ??? Sindo huyu aliomba tuwekewe vikwazo mpaka zito naye aka mkrash ??????


N.b sishabikii tukio lilompata lissu et sababu ni mpinzani wakila kitu chaserikali... Maana nje yasiasa naye anatwgemewa namkewe.,watoto nandugu.
 
Amina Amina Amina.....Namuombea apone haraka sana.
 
Pia ndio hao hao wanaomkamata Lissu kila siku nakumweka rumande.sasa wamechoka kumkamata kisha anawaumbua mahakamani imebidi waamue kumuuwa kabisa maana mbinu yakumnyamazisha kwakutumia mahakama imeshindikana.
 
Lah! Asante Mungu kwa kumponya Lissu, Mungu Baba mlinde Lissu dhidi ya wanyang'anyi wa nchi yetu.
 
Mwizi wa kuku atapatikana ila hao watu tutaambiwa hawajajulikana
 
Kama public figure aina ya lissu,anashambuliwa kwa risasi hadharani,vipi kuhusu sisi? Hii dhima inamuangukia Amiri jeshi mkuu kwa kutengeneza mazingira ya uadui.
 
lisu huwa ni mkweli..na ukweli ndio umemfikisha hapa
 
Ninachompendea Mungu, kila nafsi itaonja mauti, halafu kibaya zaidi, hakuna ajuaye ataondoka lini na kwa style gani.

Hivyo wanaofanya haya ni ujinga wa hali ya juu tu wanafanya kwani huenda zamu yao ikiwadia itaweza kuambatana na kilio cha kusaga meno X 1000 ya hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…