Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nilazima tujifute matope ya unafiki ktk nyuso zetu.....Tundu lissu ivi anatetea taifa au nayeye anatumika kuliumiza taifa ??? Sindo huyu aliomba tuwekewe vikwazo mpaka zito naye aka mkrash ??????SAWA WANAOTETEA WANYONGE NDIO HAWA WANA PIGWA RISASI KUNYAMAZISHWA ITAKUWA SISI
Pia ndio hao hao wanaomkamata Lissu kila siku nakumweka rumande.sasa wamechoka kumkamata kisha anawaumbua mahakamani imebidi waamue kumuuwa kabisa maana mbinu yakumnyamazisha kwakutumia mahakama imeshindikana.Pia wamagharibi ndio wanaoteka wasanii
Ndio wanaovamia vituo vya habari
Ndio wanaobomolea watu nyumba kinyume cha sheria
Ndio wanaotesa matajiri kisa waliunga mkono wapinzani
Ndio wanaosema watawashughulikia wapinzani
Ndio waliomtolea Nape risasi hadharani
Habari hii ina ukweli wowote???Lissu amepelekwa Nairobi kwa ajili ya kuokoa maisha yake!
Kama public figure aina ya lissu,anashambuliwa kwa risasi hadharani,vipi kuhusu sisi? Hii dhima inamuangukia Amiri jeshi mkuu kwa kutengeneza mazingira ya uadui.Pole sana Mkuu, sikutegemea hata siku moja kuona nchi yetu inafikia hapa kwa kutaka kumuua mtu ambaye hana hatia yeyote ile zaidi ya kufanya wajibu wake kama raia na mbunge.
Siku chache tu zilizopita Kikwete alitamka hadharani kwamba wapinzani si maadui wa Serikali na leo hii Kamanda Lissu pamoja na kuwa hana hatia yeyote ile walikusudia kumuua!
Siku chache pia zilizopita aliongea hadharani kwamba watu walikuwa wanamfuatilia na gari na namba akaziweka hadharani lakini Serikali haikusema chochote kuhusu tuhuma za Kamanda Lissu.
Inamaana hawana imani na hali ya usalama ya TL kwa sasa.Yaani Inamaana tanzania hakuna hospital ya kutibu majeraha ya risasi
Tukana tu. Unamuomba nani sasa?Mods naombeni ruhusa yenu nitukane kidogo huenda kichwa changu kikapona
Sent using Jamii Forums mobile app
lisu huwa ni mkweli..na ukweli ndio umemfikisha hapaMkuu nilazima tujifute matope ya unafiki ktk nyuso zetu.....Tundu lissu ivi anatetea taifa au nayeye anatumika kuliumiza taifa ??? Sindo huyu aliomba tuwekewe vikwazo mpaka zito naye aka mkrash ??????
N.b sishabikii tukio lilompata lissu et sababu ni mpinzani wakila kitu chaserikali... Maana nje yasiasa naye anatwgemewa namkewe.,watoto nandugu.