DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Tunakuombea sana Mh Lissu uko ulipo na upone haraka sana,Kukosekana kwako Bungeni ni sawa Meli bila Capt,Sasa Watanzania ndo watajua umuhimu wako na Mambo usemayo kila pakicha.Wakati wa Matatizo wote tunaungana kuombea mambo yarudi swa.Mimi naombea sana upone haraka sana urudi kazini.
 
Malipo ni hapa hapa duniani.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nataka gari yake [emoji51] [emoji16] [emoji24] [emoji24] [emoji24] v8 nimeielewa sana.
 
ushabikii kweli huwezi kuwa serious kwa hayo maneno yako
 
Kutokana na tukio la Lissu. Nimepata somo kwamba ukiwa upo Ccm Utaishiwa kutishiwa tu bastola, lakini ukiwa upinzani(CHADEMA) jamaa wanaku shoot kweli.

Baba jei sio mtu poa kabisa.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…