Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The elephant ,,ivi unadhan serikali haifanyiigi kazi ??? Inafanya ,,ila inafanya at same time haitaki kujionyesha kua inayafanyia kazi. Ndio maana kuna nyakati wapinzani nao wanaisifu serikali.Kwa mengine nimekuelewa.. hapo juu nakuuliza, je kuna siku serikali imeshafanyia kazi mapendekezo ya wapinzani iwe bungeni au hata kwa majukwaa mengine? ingekuwa mchango wa Lissu unahitaka kwa serikali, kwanini wasingemweka kwenye kamati ya majadiliano na Barrick?
Wakati tumwombee Lissu Mungu ampe uponyaji wa haraka
Huyu ndiye aliyeomba ruhusa kumuua Tundu Lissu
Tatizo linaanzia hapo tu. Sio jambo la kuleta mzaha hili. Hapa ni sala tu tumwombee apone haraka. To be honest najisikia simanzi sana. Mungu ni mwemamungu ni mwema naomba ashushe ghaza
bu kwa wote wanafiki wa ccm
Tatizo linaanzia hapo tu. Sio jambo la kuleta mzaha hili. Hapa ni sala tu tumwombee apone haraka. To be honest najisikia simanzi sana. Mungu ni mwemamungu ni mwema naomba ashushe ghaza
bu kwa wote wanafiki wa ccm
wauwaji hawawezi kupiga risasi 8 halafu wapige tumboni,miguuni na dereva asiguswe..au laa hawakuwa professionals
Ni mtazamo wako tu.Hivi karibuni tumeshuhudia mashambulizi katika ofisi za IMMA kwa mashambulio ya mabomu washambuliaji hawajakamatwa. Leo tena tumearifiwa kupigwa risasi kwa Tundu Lissu.
Mashambulio yote yanalenga wanasheria na watu wanaosaidiana katika kesi zao.
Nani yuko nyuma ya haya mambo? Kwa nini sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app