Nimeshawaabia hiyo ni kiki ya kijinga, nilisema mapema asingefika hata hosptali, wamejipiga lisasi ameki headline .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka 23:26 Hapatakua na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa ktk nchi yako na hesabu ya siku zako nitaitimiza!
Bwana Yesu ninakuomba asiwepo yeyote atakayezikatisha hesabu ya miaka yake hapa dunia katika jina la Yesu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye macho haambiwi tazamaHivi watu wasiojulikana ni pamoja na walioingia clouds wakamkata mtama sudy na kwisa. Na wengine niwale walimnyooshea bunduki nape hadharani??. Watu wasiojulikana hivi huwa wanakaa wapi? Hata mimi sijulikani
usiishi kwa kuona vya nje. take your time fuatilia post zangu usijibu tu ili uonekane na wewe umeandika kitu hapa jf
Mhimbili pako vizuri tu na isitoshe yeye ni vip hata huduma angepata ya uhakika.. anyway tuyaacheNdio jasho litamtoka.
Hii ni habari mbaya sana na inapaswa kukemewa na kupingwa kwa nguvu zote.
Sasa najiuliza dereva mzoefu kiasi cha kumuendesha mtu ambaye ni 'high risk' unagundua kuna gari inakufuata katika options zote unaamua kwenda nyumbani? Tena unajua ukishaingia getini ni dead end utajiteteaje kwenye incident kama hii?
Una VX V8 unahisi gari inakufuata nyuma unashindwa kukamua mashine hio unaamua kwenda nyumbani?
Mimi nikihisi gari inanifuata nyuma siingi nyumbani napitiliza.