Hata mimi haya maelezo yamenichanganya sana. Kwa kweli dereva atueleze vizuri, kwa nini aliamua kuingia nyumbani hata baada ya kugundua kuna gari linawafuatilia? Kwa nini hakurudi bungeni baada ya kugundua hilo? Na hao wauaji walipata wapi confidence ya kulifuata gari nyuma mpaka nyumbani wakati wakijua dereva angewashtukia?
Ningekushauri kukaa kimya nakuacha serikali ifanye uchunguzi..Wandugu nimeshitushwa Sana na hii habari ya lisu kunusulika na lisasi.... W
Kuthubutu kumua lisu ni kuizima tochi inayoimulika Tanzania hivi sasa... No wakifanikiwa kufanya hivo amini na waambieni Tanzania tutakuwa tumeingizwa gizani mchana na usiku...
My take: hili swala lisiachiwe kuwa la chadema wala mbowe na lisu tu.. Kuna haja ya watanzania wote kwa pamoja kuungana bila ya kujalisha itikadi za kisiasa wala dini kukemea huu uovu ukome mara moja....
Tanzania ni yetu wote weka bunduki chini tubishane kwa hoja.... In Roma voice
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni makanikia mkubwaSasa si wapinzani wanalalamika viongozi kutibiwa nje ya nchi. Imekuweje tena?
Mahakama msimwachie huyo eti kwa sababu mgonjwa. Siku ya kesi yake ni lazima aitwe tu, kama Manji na Seth.
toa tongotongo na makamasi imekuuma sana kupelekwa nje.Makinikiaz mission shall be fail in the name of JesusSasa si wapinzani wanalalamika viongozi kutibiwa nje ya nchi. Imekuweje tena?
Maswali mengi yanahitaji majibu.Hata mimi haya maelezo yamenichanganya sana. Kwa kweli dereva atueleze vizuri, kwa nini aliamua kuingia nyumbani hata baada ya kugundua kuna gari linawafuatilia? Kwa nini hakurudi bungeni baada ya kugundua hilo? Na hao wauaji walipata wapi confidence ya kulifuata gari nyuma mpaka nyumbani wakati wakijua dereva angewashtukia?
achana na hao wametumwa huku kuja kulita theories zao ....za kubadili upepoLissu nae si alijui hilo why hakumwambia tupotilize?!!!
Ni vizuri kuwa na busara katika mambo kama haya, hujui kesho litakupata lipi ama nduguyo wa karibu atafikwa na jambo gani baya. Usifurahie kuanguka kwa adui yako, Mungu ameweka sheria ambazo zinahukumu maisha yetu ni complicated kutambulika. Kwa hiyo jitafakari nduguMahakama msimwachie huyo eti kwa sababu mgonjwa. Siku ya kesi yake ni lazima aitwe tu, kama Manji na Seth.
Do your really regard Lissu a true hero of our country su ndio ule unafiki wetu Watanzania?Bad News get well soon Tundu Lissu a true hero Of our country
Wewe usitake kunitisha na maneno yako ya kilokole hapa.Mungu akutende kadiri unavyotamani wengine watendwe
.....Akipona hapo itabidi ajifunze kuutumia mdomo wake vizuri.