DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Hata mimi haya maelezo yamenichanganya sana. Kwa kweli dereva atueleze vizuri, kwa nini aliamua kuingia nyumbani hata baada ya kugundua kuna gari linawafuatilia? Kwa nini hakurudi bungeni baada ya kugundua hilo? Na hao wauaji walipata wapi confidence ya kulifuata gari nyuma mpaka nyumbani wakati wakijua dereva angewashtukia?

Lissu nae si alijui hilo why hakumwambia tupotilize?!!!
 
Wandugu nimeshitushwa Sana na hii habari ya lisu kunusulika na lisasi.... W

Kuthubutu kumua lisu ni kuizima tochi inayoimulika Tanzania hivi sasa... No wakifanikiwa kufanya hivo amini na waambieni Tanzania tutakuwa tumeingizwa gizani mchana na usiku...

My take: hili swala lisiachiwe kuwa la chadema wala mbowe na lisu tu.. Kuna haja ya watanzania wote kwa pamoja kuungana bila ya kujalisha itikadi za kisiasa wala dini kukemea huu uovu ukome mara moja....

Tanzania ni yetu wote weka bunduki chini tubishane kwa hoja.... In Roma voice
14dcd9e1c1adf9ae4d3e5e83427b888b.jpg


b65e761919becfd6872f734bed6356a4.jpg


3f7a60ad20549023bcb52c2addf612ed.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekushauri kukaa kimya nakuacha serikali ifanye uchunguzi..
Sio vizuri kuhisi kuwa na uhakika.
 
Hata mimi haya maelezo yamenichanganya sana. Kwa kweli dereva atueleze vizuri, kwa nini aliamua kuingia nyumbani hata baada ya kugundua kuna gari linawafuatilia? Kwa nini hakurudi bungeni baada ya kugundua hilo? Na hao wauaji walipata wapi confidence ya kulifuata gari nyuma mpaka nyumbani wakati wakijua dereva angewashtukia?
Maswali mengi yanahitaji majibu.
 
Hivi familia yake haiwezi kusimamia matibabu yote bila kuhusisha watu toka Bunge na Serikali?

Nani anasauti ya mwisho juu ya matibu ya Lissu ni Familia yake, Bunge, Chama chake au Serikali?
 
Mahakama msimwachie huyo eti kwa sababu mgonjwa. Siku ya kesi yake ni lazima aitwe tu, kama Manji na Seth.
Ni vizuri kuwa na busara katika mambo kama haya, hujui kesho litakupata lipi ama nduguyo wa karibu atafikwa na jambo gani baya. Usifurahie kuanguka kwa adui yako, Mungu ameweka sheria ambazo zinahukumu maisha yetu ni complicated kutambulika. Kwa hiyo jitafakari ndugu
 
Kwakweli huyu Tundu Lissu anapendwa!

Huyu mtu huwa anawasemea wengi sana hata wa ccm

Mungu na amponye haraka!
 
Kufuatia kitendo cha tindu lisu kupigwa risasi, ni wakati muafaka wa upinzani kujiondoa ubunge na kuanza uanaharakati wa na kuacha ccm pekee waongoze nchi kama wanavyotaka, damu ya lisu iwe chachu ya kudai upya uhuru wa tanzania tulionyang'anywa tangu oktober 2015 na minyang'ao. Watanzania tupaze Saudi zetu.
 
Back
Top Bottom